Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Labda nyaraka haziko vizuri mkuu, ndani yamiezi hii minne kuna baadhi ya watu nimeshuhudia wakipata mikopo ndani ya wiki 2; kuna rafiki yangu naye alinufaika mpaka kujenga hotel, na atapata full umiliki baada ya kumaliza mkopoBank hawana pesa mzee kuna watu washasain mikopo Yan kila kitu na wengine washaanza kukatwa lakini
Pesa haijaingia wakati mchakato ulishakamilika tangu 6months back
Wewe ungekuwa nayo cdhan kama ungekuwa hapa unataka kuwa ONTARIO watuN mzigo kweli kama hauna hesabu nayo ila Kama una hesabu nayo n kidogo sana
Hapo nimeficha taarifa za hyo karatasi hvyo vyote chimbo n china mkuu Afrika Nairobi na kariakoo.Hongera na swali izo bidhaa ulizoweka katika mfumo wa picha ndo ulizoagiza aldeo
Hili na mimi napitia yaani mchakato nimemaliza muda lakini mkopo mpaka sasa holaBank hawana pesa mzee kuna watu washasain mikopo Yan kila kitu na wengine washaanza kukatwa lakini
Pesa haijaingia wakati mchakato ulishakamilika tangu 6months back
Equation xHili na mimi napitia yaani mchakato nimemaliza muda lakini mkopo mpaka sasa hola
Ajabu hii. Unaanza kukatwa vp wakati haujakopeshwa?Bank hawana pesa mzee kuna watu washasain mikopo Yan kila kitu na wengine washaanza kukatwa lakini
Pesa haijaingia wakati mchakato ulishakamilika tangu 6months back
Zipo nyuzi kibao zinalamikia hii issue fungua uzi za bank yoyote humu huwez kosa hz hanariAjabu hii. Unaanza kukatwa vp wakati haujakopeshwa?
Sasa wananikataje pesa. Wanazikata kutoka wapi.Zipo nyuzi kibao zinalamikia hii issue fungua uzi za bank yoyote humu huwez kosa hz hanari
Changamoto hizo zipo, ila kwa ushauri jaribu kutembelea benki tofauti tofauti na uende kibiashara wanaweza kukupatia abcEquation x
Ukweli n kuwa bank sasahv hesabu zao haziendi halafu wenye hela zao wanazitoa bank wanaingiza mtaan ndomana sikuhz wananyatia wastaafu na kuwalazimisha waweke fixed hata ya miaka 3
Mkuu n Biashara nafanya nasio kwamba nataka mkopo hapana Ila Kama kuna mtu anapesa anafikiria aifanyie nn mimi namkaribisha aje tupige kazi pamoja.Mkuu umeshindwa kusema wewe utaweka kiasi gani au unamtaji kiasi gani.....
pia umeshindwa sema return rate ya mil 40 ya mhusika ni ngapi [hata kwa makisio]
Pia biashara za nje ya nchi zinachangamoto, ungeeleza hata kwa ufupi, umejipangaje kuzisolve hizo changamoto na mhusika
Mchongo wa maana sana mkuu ubarikiweWanasema mafanikio ya mwanadamu yapo kwenye taarifa au connection Sasa wana Jf Mwenye utayari wa kuzungusha pesa yake ndani ya muda mfupi aweze kurudisha pesa yake na kuamua kuendelea au lah namuhitaji.
Ninahusika nakuingiza Bidhaa flani kutoka Kenya kuja Tanzania soko la hzo Bidhaa lipo na uhakika sababu ndo kazi ilionitoa shimoni mpaka hapa nilipo.
N vyema akawepo maeneo ya Arusha sababu itakuwa rahisi kumanage hyo issue na kupata mawili matatu sababu hata base ya Biashara inatakiwa Arusha.
Nataka mtu aje aweke mzigo baada ya kuridhika na hii biashara naye asubiri hesabu yake ikamilike, nahitaji mtu alie serious na pesa yake na awe tayari tupige kazi.
Aina ya bidhaa ni mafuta ya nywele, Dawa zake pia kuna lotion mafuta Mgando, sabuni za vyombo na sabuni za chooni pia kuna Bidhaa kutoka china na Egypt.
Hii issue n serious na inatoa pesa kwa wakati alie tayari na ningependa awe arusha ili tuongee in details vizuri.
0742500503 karibu.
Amina mkuuMchongo wa maana sana mkuu ubarikiwe
Omba yako hii huwa wanakutumia kweli?Mkuu samahani Sana Nina shida na 20000 Kama unayo nisaidie unikopeshe nikutumie namba PM?samahani lakini kwa kutoka nje ya maada Nina shida imenikaba.