Mwenye uelewa juu ya kampuni ya F.I.C

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Naomba mwenye uelewa juu ya ukweli kuhusu hii kampuni ya F.I.C inahusika na ubashiri wa correct score ila ikitokea mkeka wako ukichanika wanakurudishia pesa zako zote...
 
Ni kampuni ya ajabu.
inayochezwa Na watu wa ajabu wasiofikirisha vichwa vyao.

Una-stake pesa, unapewa mechi ya kubet, hapohapo unapewa matokeo yatakavyotoka...vyovyote matokeo yatakavyokuja ,umeshinda bet.

Swali wao faida wanatengenezaje?
F.I.C ni bomu linalo.
 
DECI, JATU, TATU MZUKA,
Tungoje Wanaoijua Waje Wategue Mtego




*Ndugu Zangu Bwana Bure Hayupo, Tuchape Kazi Tukimtanguliza Mungu Mbele.
By Mzilankende
 
B O M U Linalongoja Muda Wa Kulipuka Liondoke Na Kijiji, Machozi Na Kamasi Jembamba
 
F.I.C to the world😂😂uzuri ukiweka pesa less one month pesa inakuwa imerudi unaanza kutumia faida😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…