Habarini wakuu, poleni na majukumu, kwenye pita pita zangu nimeona hii program na na kupitia guidelines zake. Wenye uelewa naombeni mtueleweshe kwenye ; azimio lake, manufaa kwa jamii na watumishi kwa ujumla. Sisi watumishi wapya wa afya. Maana naona kuna points lazima uwe nazo ilikufanikiwa kurenew licence.
Asanteni
Asanteni