Mwenye uelewa kuhusu kampuni ya Soila

Mwendece

Member
Joined
Jun 23, 2021
Posts
35
Reaction score
47
Habari za leo,Kuna kampuni tajwa hapo yenye makao makuu morogoro inajishughulisha na kulima, yaani unatoa hela ya mtaji Kisha baada ya miezi kadhaa kulingana na zao unapewa hela(mtaji na faida) , naomba anaifaham anisaidie ufafanuzi mi nipo mkoa mwingine ili Kama inafaa niwekeze
Nashukuru
 
Siti namba moja"ila sijui kama awatakua wanafanana na desiiiiiiiiiiiii
 
Bro hio ni "Ponz Scheme" na kama ni mtumiaji mzuri wa JF vilio vya aina hio ya uwekezaji ni vingi na wataalamu wa maswala ya investment wamekwisha kutuonya juu ya aina hizi za uwekezaji.
Kua makini ndugu usijiingize huko,utakuja kulia baadae.
 

Usipebde urahisi kwenye kutafuta fedha
 
Nashukuruni kwa michango yenu, kwa namna mlivyo changia,hapa nimeona nitalia na kusaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…