Mwenye uelewa na hivi vitofali vya kuchoma vya kubandika ukutani

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mwenye uelewa na hivi vitofali vyekundu vya kubandika ukutani, vinabandikwa kwa bei gani kwa kila mita za mraba?

tofari.jpeg
 
Una uhakika gani vimebandikwa? Huwa navutiwa sana na nyumba za dizaini hiyo
 
Sijui kwanini bongo hatupendi zenye muonekano huo😮😮😮
 
Mwenye uelewa na hivi vitofali vyekundu vya kubandika ukutani, vinabandikwa kwa bei gani kwa kila mita za mraba?

View attachment 1984812
Yapo ya aina mbili. Kuna yale ambayo ni matofali complete unajengea moja kwa moja (matofali ya kuchoma). Na kuna zile kama tiles ambazo unabandika ukutani kama finishing. Cheki na jamaa hawa instagram (Login • Instagram) wanatengeneza hizo za tiles za kubandika ukutani. Namba zao za simu ni 0622 564 288 au 0762541386
 
Nashukuru sana
 
Tofali hizo mzee hazibandikwi,zinajengewa,tanzania bado hatujapata matajiri wenye kumiliki hizo tanuru za kuchanganyia udongo na kuchomea hizo tofati,wenzetu kenya na uganda wanajengea sana hizo,kidogooo nilianza kuziona Arusha,zamani zilikuwepo Peramiho Misheni
 
Back
Top Bottom