ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Kwa miezi sasa nimekuwa kila nikifungua e mail yangu nakutana na email za watu wakiniomba kazi wakiwa wameambatanisha na CV zao!Nadhani labda kuna watu wasiowaadilifu wametumia email address yangu kwenye matangazo yao ya kazi!Ninaomba mwenye ujuzi wa namna ya kufanya anijuze ili watu wasiendelee kusumbuka!Nilianza kwa kujaribu kuwaelewesha baadhi ya watu hao lakini kadri uchao emails za hivyo zinakuwa nyingi