Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuaribika kwa kinga ya mwili kukasababishe magonjwa ya moyo?kweli! mhhh mkuu kuna uhusiano kweli hapo?
Deception njoo huku utoe ufafanuzi tafadhari
http://www.google.co.tz/url?q=http://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2805817/&sa=U&ved=0ahUKEwj_mbu4gsLJAhXLfRoKHTpFDUQQFggWMAQ&usg=AFQjCNHVjNY-Y7REyRFpYwT7xM5iKI0ucw.
http://www.google.co.tz/url?q=http://www.catie.ca/en/fact-sheets/other-health-conditions/hiv-and-cardiovascular-disease&sa=U&ved=0ahUKEwj_mbu4gsLJAhXLfRoKHTpFDUQQFggYMAU&usg=AFQjCNE9Oq4CRqkL0PQhKhrpED0xqz1yng
http://www.google.co.tz/url?q=http://mobile.nytimes.com/2012/06/19/health/heart-attacks-are-much-more-frequent-in-hiv-patients.html%3Freferer%3D&sa=U&ved=0ahUKEwj_mbu4gsLJAhXLfRoKHTpFDUQQFggeMAg&usg=AFQjCNEhkXA7y8rBu8h2kksk1Ne3HnItog
Me mwenye huyu mleta mada kanichang"anya mara yeye sio mtalama wa mambo ya ukimwi blabla nyingi. Bora umekuja Deception umsaidieWatu kama huyu mleta mada ndio wenye nembo ya kusikilizwa na kukubalika na walio wengi,sisi tunaopinga mambo haya tena kwa hoja za msingi na zenye mantiki kubwa huwa tunaonekana wapotoshaji na hatutakiwi kabisa humu JF,hivyo ndivyo dunia ya leo ilivyo.Kwa maandishi yangu haya machache sana, wapo wenye upeo wa kunielewa ingawa ni wachache sana.
Hebu chunguza majibu yanayotolewa na mleta mada kwa maswali ya wasomaji wengine,halafu linganisha na kichwa cha habari/topic jinsi kilivyo,utagundua kitu fulani ambacho watu wengi hawawezi kukiona.Ndio maana mimi niko tofauti sana na walio wengi hasa pale tunapozungumzia mada zenye uzito kama hizi.Watu wengi hawatumii ubongo wao kama inavyopaswa.
HIV/AIDS ni dini kama zilivyo dini nyingine kwa kuwa imelalia kwenye IMANI kuliko SAYANSI.Tuna dini kwasababu tuna IMANI,pasipo IMANI hakuna dini.Vivyohivyo,tuna HIV/AIDS kwasababu ya IMANI,pasipo IMANI hakuna HIV/AIDS.
Hapo sasa na wewe ujifikilie kwann wamamzuia kama kweli wanania ya kuponesha watu. Ila kama alivyosema deception huu ugonjwa watu wameanza kushituka kwamba ni feki. me tangu nijue ukweli huu niko huru sana namshukulu sana deception. Na mm hii elimu niliyopata najitaidi kuwaelimisha wengine kunawengine wananielewa wengine hawataki kunielewa lakni najitaidi kuwaelewesha najua wataelewa tu.Deception leo kauwa kabisa ati HIV/AIDS ni dini. Nimecheka aisee. Ila hii kitu nimeendelea kuifuatilia inaonesha kuna siasa kabisa kwenyenhuu ugonjwa. Bse kuna taarifa nilipata ati zambia kuna jamaa alikua anatibu kabisa lkn mkwara wa kuzuiliwa asiendelee na.biashara zake hizo ilitoka US kuja kwa serikali na wakampiga ban nzito kweli. Ati ss anafanya kwankificho sana ss nikajiuliza why walimzuia kama kweli wamagharibi wanahangaika kweli kutafuta tiba?
Mimi nataka nijue matumizi ya hizo asilimia. Hapo 70% na 90% zinamaanisha probability ya kuambukiza au idadi ya watumiaji wanaofaidika na matumizi? Kama swali langu halijaeleweka, niambie tu niliweke kwa namna nyingine lieleweke