Mwenye UKIMWI akitumia ARV hana tena uwezo wa kuambukiza wengine!

kuaribika kwa kinga ya mwili kukasababishe magonjwa ya moyo?kweli! mhhh mkuu kuna uhusiano kweli hapo?

http://www.google.co.tz/url?q=http://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2805817/&sa=U&ved=0ahUKEwj_mbu4gsLJAhXLfRoKHTpFDUQQFggWMAQ&usg=AFQjCNHVjNY-Y7REyRFpYwT7xM5iKI0ucw.
http://www.google.co.tz/url?q=http://www.catie.ca/en/fact-sheets/other-health-conditions/hiv-and-cardiovascular-disease&sa=U&ved=0ahUKEwj_mbu4gsLJAhXLfRoKHTpFDUQQFggYMAU&usg=AFQjCNE9Oq4CRqkL0PQhKhrpED0xqz1yng

http://www.google.co.tz/url?q=http://mobile.nytimes.com/2012/06/19/health/heart-attacks-are-much-more-frequent-in-hiv-patients.html%3Freferer%3D&sa=U&ved=0ahUKEwj_mbu4gsLJAhXLfRoKHTpFDUQQFggeMAg&usg=AFQjCNEhkXA7y8rBu8h2kksk1Ne3HnItog
 
Deception njoo huku utoe ufafanuzi tafadhari

Watu kama huyu mleta mada ndio wenye nembo ya kusikilizwa na kukubalika na walio wengi,sisi tunaopinga mambo haya tena kwa hoja za msingi na zenye mantiki kubwa huwa tunaonekana wapotoshaji na hatutakiwi kabisa humu JF,hivyo ndivyo dunia ya leo ilivyo.Kwa maandishi yangu haya machache sana, wapo wenye upeo wa kunielewa ingawa ni wachache sana.

Hebu chunguza majibu yanayotolewa na mleta mada kwa maswali ya wasomaji wengine,halafu linganisha na kichwa cha habari/topic jinsi kilivyo,utagundua kitu fulani ambacho watu wengi hawawezi kukiona.Ndio maana mimi niko tofauti sana na walio wengi hasa pale tunapozungumzia mada zenye uzito kama hizi.Watu wengi hawatumii ubongo wao kama inavyopaswa.

HIV/AIDS ni dini kama zilivyo dini nyingine kwa kuwa imelalia kwenye IMANI kuliko SAYANSI.Tuna dini kwasababu tuna IMANI,pasipo IMANI hakuna dini.Vivyohivyo,tuna HIV/AIDS kwasababu ya IMANI,pasipo IMANI hakuna HIV/AIDS.
 
mkuu sielewi ulichoandika naomba unijibu how hiv/aids ikasababishe matatizo ya moyo na pressure kama ulivyosema
tuanzie hapo Mshinga
 
Last edited by a moderator:
Watu kama huyu mleta mada ndio wenye nembo ya kusikilizwa na kukubalika na walio wengi,sisi tunaopinga mambo haya tena kwa hoja za msingi na zenye mantiki kubwa huwa tunaonekana wapotoshaji na hatutakiwi kabisa humu JF,hivyo ndivyo dunia ya leo ilivyo.Kwa maandishi yangu haya machache sana, wapo wenye upeo wa kunielewa ingawa ni wachache sana.

Hebu chunguza majibu yanayotolewa na mleta mada kwa maswali ya wasomaji wengine,halafu linganisha na kichwa cha habari/topic jinsi kilivyo,utagundua kitu fulani ambacho watu wengi hawawezi kukiona.Ndio maana mimi niko tofauti sana na walio wengi hasa pale tunapozungumzia mada zenye uzito kama hizi.Watu wengi hawatumii ubongo wao kama inavyopaswa.

HIV/AIDS ni dini kama zilivyo dini nyingine kwa kuwa imelalia kwenye IMANI kuliko SAYANSI.Tuna dini kwasababu tuna IMANI,pasipo IMANI hakuna dini.Vivyohivyo,tuna HIV/AIDS kwasababu ya IMANI,pasipo IMANI hakuna HIV/AIDS.
Me mwenye huyu mleta mada kanichang"anya mara yeye sio mtalama wa mambo ya ukimwi blabla nyingi. Bora umekuja Deception umsaidie
 
Deception leo kauwa kabisa ati HIV/AIDS ni dini. Nimecheka aisee. Ila hii kitu nimeendelea kuifuatilia inaonesha kuna siasa kabisa kwenyenhuu ugonjwa. Bse kuna taarifa nilipata ati zambia kuna jamaa alikua anatibu kabisa lkn mkwara wa kuzuiliwa asiendelee na.biashara zake hizo ilitoka US kuja kwa serikali na wakampiga ban nzito kweli. Ati ss anafanya kwankificho sana ss nikajiuliza why walimzuia kama kweli wamagharibi wanahangaika kweli kutafuta tiba?
 
Hapo sasa na wewe ujifikilie kwann wamamzuia kama kweli wanania ya kuponesha watu. Ila kama alivyosema deception huu ugonjwa watu wameanza kushituka kwamba ni feki. me tangu nijue ukweli huu niko huru sana namshukulu sana deception. Na mm hii elimu niliyopata najitaidi kuwaelimisha wengine kunawengine wananielewa wengine hawataki kunielewa lakni najitaidi kuwaelewesha najua wataelewa tu.
 
Ili tuwe salama zaidi Kwa michepuko Kwa asilimia 90 tutumie ARV badala ya condom asilimia 70 au mimi Ndio cjaelewa vizuri
 
Mimi nataka nijue matumizi ya hizo asilimia. Hapo 70% na 90% zinamaanisha probability ya kuambukiza au idadi ya watumiaji wanaofaidika na matumizi? Kama swali langu halijaeleweka, niambie tu niliweke kwa namna nyingine lieleweke
 
Back
Top Bottom