Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Mkuu,

Habari ya hapo moro mitaa ya azimio. Vipi shida ya maji imeisha mitaa hiyo?

Sent using iphone pro max
 
Kuna dads mmoja ofisini kwetu kwake ana cherehani 1 tu lakini kila siku analeta mabegi ya shule ya ngozi na mikoba ofisini kwa kuuza na watu wanaikubali sana....sasa hapa napo sijui anaongeleaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Che Nkapa na JK walishindwa kununua hata ndege moja ihali walizikuta alizoacha Baba wa taifa karibu 10? Hilo hamlioni kwa sababu ya makengeza.
Naunga mkono SGR, Stiglers gorge , upanuzi wa barabara,,,
Ndege NO
Fly over NO
Biashara ya ndege hatuwezi toboa,,,
Round about pale Ubungo imesolve tatizo la folen.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Ole
Naunga mkono SGR, Stiglers gorge , upanuzi wa barabara,,,
Ndege NO
Fly over NO
Biashara ya ndege hatuwezi toboa,,,
Round about pale Ubungo imesolve tatizo la folen.


Sent using Jamii Forums mobile app
Umuhimu wa ndege utauona tu pale unapohitaji usafiri wa nje, pia ni fedheha kwa nchi kuwa tegemezi kwenye makampuni ya nje kusafirisha raia wake.

Unamaanisha nini unaposema roundabout Ubungo wakati unapinga flyover?
 
Updates zote anatoa rais mwenyewe. Wasiliana naye. Hata za ychumi wa viwanda na idadi ya viwanda vipya anazo yeye mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee chakubanga mpumbavu sana!
Kabaki Polepole na porojo zake eti upinzani sawa na corona mshamba kweli yule hivi ana akili timamu kweli hamuoni mwezie Nape sasa limemshuka anashinda vijiweni huko mtama akiwaomba vijana wampe tena kura na sijui kama atarudi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
19 Apr 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Hali ilivyo katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, Tanzania ktk barabara ya Morogoro Road baada ya kujaa mchanga na kusababisha eneo hilo kufungwa kwa muda. Eneo hilo limejaa mchanga unaweza kufananisha na theluji nyingi inavyotapakaa barabarani ktk nchi zenye baridi kali za kaskazini ya dunia yetu wakati wa winter.


Source: Mwananchi digital
 
April 19, 2020
Mbweni, Dar es Salaam
Tanzania

Miundombinu ya maji ya mvua, majitaka na uwezekano wa kuchimba au kujenga canals na kingo za mito jijini Dar es Salaam


Source : Global TV online
 
April 20, 2020
Mbweni, Dar es Salaam
Tanzania

Diwani azungumza changamoto zinazowakabili maelfu ya wakaazi eneo lake


Source : Global TV online
 
Mabeberu wametunyima fweezaaa za kuendeleza mbwembwe
In God we Trust
 
Umenikumbusha maneno ya Dr Shika
Wewe nawe unawasikiliza hao wajinga? Hakuna kitu ni mbwembwe za kutuona sisi wajinga wakati tunaelewa wao ndio wajinga.

In God we Trust
 
Utamtoa mtu mashine ya kupumulia wewe
Mwaka huu Watanzania hawataki kusikia habari za stigler goji wala ndege wala SGR wala flyover.

Wanataka kusikia habari za coronavirus, CHADEMA, ACT-Wazalendo na Tume Huru.

In God we Trust
 
Mbwembwe zote zimegonga mwamba na hiyo miradi itabakia kwenye makumbusho ya taifa
Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako

In God we Trust
 
"N'gombe wa masikini hazai; na akizaa huwa ni dume".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…