wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Mkuu,Kweli kufanya kazi usiku na mchana sio effectiveness ya kazi pia sio kiashiria cha moja kwa moja cha kufanyika kazi. Kuna daraja toka oct 2019 mpka hii April 2020 kadaraja kadogo wanahangaika nako kama hadithi ya Mfalme ya nyuki isio isha. Akatoka akaingia akatoka akaingia akatoka akaingia...... siku, miezi miaka haiishi. Mkuu hii update kutoka Moro maeneo ya Azimio.
Habari ya hapo moro mitaa ya azimio. Vipi shida ya maji imeisha mitaa hiyo?
Sent using iphone pro max