Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Kweli kufanya kazi usiku na mchana sio effectiveness ya kazi pia sio kiashiria cha moja kwa moja cha kufanyika kazi. Kuna daraja toka oct 2019 mpka hii April 2020 kadaraja kadogo wanahangaika nako kama hadithi ya Mfalme ya nyuki isio isha. Akatoka akaingia akatoka akaingia akatoka akaingia...... siku, miezi miaka haiishi. Mkuu hii update kutoka Moro maeneo ya Azimio.
Mkuu,

Habari ya hapo moro mitaa ya azimio. Vipi shida ya maji imeisha mitaa hiyo?

Sent using iphone pro max
 
Cherehani 4-10 zinaweza kuwa kiwanda kidogo huo ndio ukweli. Suala hapa je hizo cherehani 4 - 10 ni za aina gani (uwezo wake) na zinazalisha nini? Kama ni cherehani za kisasa na wanatengeneza kwa wingi nguo au viatu na vitu vingine kama hivyo vyenye quality ambavyo vinaweza kuuzwa ndani ya nchi na hata nje ya nchi basi hicho ni kiwanda maana kitafuata hatua zote za utengenezaji wa hizo bidhaa na kuajiri watu wenye sifa. Lakini kama hizo cherehani 4-10 zitakuwa ni za kushona viraka na mavazi ya mtu moja mmoja basi hicho si kiwanda.
Kuna dads mmoja ofisini kwetu kwake ana cherehani 1 tu lakini kila siku analeta mabegi ya shule ya ngozi na mikoba ofisini kwa kuuza na watu wanaikubali sana....sasa hapa napo sijui anaongeleaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Che Nkapa na JK walishindwa kununua hata ndege moja ihali walizikuta alizoacha Baba wa taifa karibu 10? Hilo hamlioni kwa sababu ya makengeza.
Naunga mkono SGR, Stiglers gorge , upanuzi wa barabara,,,
Ndege NO
Fly over NO
Biashara ya ndege hatuwezi toboa,,,
Round about pale Ubungo imesolve tatizo la folen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Naunga mkono SGR, Stiglers gorge , upanuzi wa barabara,,,
Ndege NO
Fly over NO
Biashara ya ndege hatuwezi toboa,,,
Round about pale Ubungo imesolve tatizo la folen.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umuhimu wa ndege utauona tu pale unapohitaji usafiri wa nje, pia ni fedheha kwa nchi kuwa tegemezi kwenye makampuni ya nje kusafirisha raia wake.

Unamaanisha nini unaposema roundabout Ubungo wakati unapinga flyover?
 
Updates zote anatoa rais mwenyewe. Wasiliana naye. Hata za ychumi wa viwanda na idadi ya viwanda vipya anazo yeye mwenyewe!
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
19 Apr 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Hali ilivyo katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, Tanzania ktk barabara ya Morogoro Road baada ya kujaa mchanga na kusababisha eneo hilo kufungwa kwa muda. Eneo hilo limejaa mchanga unaweza kufananisha na theluji nyingi inavyotapakaa barabarani ktk nchi zenye baridi kali za kaskazini ya dunia yetu wakati wa winter.

Source: Mwananchi digital
 
April 19, 2020
Mbweni, Dar es Salaam
Tanzania

Miundombinu ya maji ya mvua, majitaka na uwezekano wa kuchimba au kujenga canals na kingo za mito jijini Dar es Salaam

Source : Global TV online
 
April 20, 2020
Mbweni, Dar es Salaam
Tanzania

Diwani azungumza changamoto zinazowakabili maelfu ya wakaazi eneo lake

Source : Global TV online
 
Mabeberu wametunyima fweezaaa za kuendeleza mbwembwe
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi.

In God we Trust
 
Umenikumbusha maneno ya Dr Shika
Wewe nawe unawasikiliza hao wajinga? Hakuna kitu ni mbwembwe za kutuona sisi wajinga wakati tunaelewa wao ndio wajinga.

In God we Trust
 
Utamtoa mtu mashine ya kupumulia wewe
Mwaka huu Watanzania hawataki kusikia habari za stigler goji wala ndege wala SGR wala flyover.

Wanataka kusikia habari za coronavirus, CHADEMA, ACT-Wazalendo na Tume Huru.

In God we Trust
 
Mbwembwe zote zimegonga mwamba na hiyo miradi itabakia kwenye makumbusho ya taifa
Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako

In God we Trust
 
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
"N'gombe wa masikini hazai; na akizaa huwa ni dume".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom