Kukaa karibu na Mlonganzila sio sababu ya kupata Corona au kujikinga nayo..Hakuna mradi ambao ujenzi umesimama.miradi haijakamilika lakini ujenzi unaendelea. Niko mita 100 eneo la mradi SGR.ni suala la muda tu.kila kitu kitakamilika. Na nyinyi mjenge makao makuu ya chama..tutawachangia kama tulivyowachangia viongozi wenu wakiwa mahabusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta evidence ni asilimia ngapi?? Maneno matupu unapoteza muda.
Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Hakuna aliyesema mradi umesimama ila kwa mujibu wa kebehi zenu sgr ilikuwa ifike Moro Nov 2019. Mmekwama wapi tuwachangie? Au corona imewakamata?Hakuna mradi ambao ujenzi umesimama.miradi haijakamilika lakini ujenzi unaendelea. Niko mita 100 eneo la mradi SGR.ni suala la muda tu.kila kitu kitakamilika. Na nyinyi mjenge makao makuu ya chama..tutawachangia kama tulivyowachangia viongozi wenu wakiwa mahabusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ungekuwa hauna maana kama sgr ingefika Moro Nov 2019. Leo ni karibu April 2020 na hakuna sababu inatolewa kwa nn mradi umechelewa. Huu uzi upo valid mpaka Bwana Yesu arudiUkisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Imekuwa hivyo tena mzee wa #Tunatekeleza amechoka kutudanganya kwa mapicha picha yake.Nenda site.
Tulishaambiwa kuwa ukiwa na vyerahani 4 ni kiwanda hicho na wewe ni mwekezaji
In God we Trust
''Mwenye macho haambiwi tazama.''
Hiyo lugha huwa mnawaambia mazoba wasiojua lolote. Ni vyema badala ya kuja na misemo, ungesema bomba la mafuta ujenzi umefikia wapi, maana tuliambiwa kwa mbwembwe kuwa 2020 litaanza kazi, SGR tuliambiwa kufikia dec 2019 itaanza kazi Dar-Moro. Badala ya kusema maendeleo ni yapi unaleta maneno ya kiswahili eti mwenye macho haambiwi tazama.
Hakuna mradi ambao ujenzi umesimama.miradi haijakamilika lakini ujenzi unaendelea. Niko mita 100 eneo la mradi SGR.ni suala la muda tu.kila kitu kitakamilika. Na nyinyi mjenge makao makuu ya chama..tutawachangia kama tulivyowachangia viongozi wenu wakiwa mahabusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo mita 100 za hapo Dar au Morogoro?Hakuna mradi ambao ujenzi umesimama.miradi haijakamilika lakini ujenzi unaendelea. Niko mita 100 eneo la mradi SGR.ni suala la muda tu.kila kitu kitakamilika. Na nyinyi mjenge makao makuu ya chama..tutawachangia kama tulivyowachangia viongozi wenu wakiwa mahabusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unatakaje? Nenda site! Mambo ni moto huko.Imekuwa hivyo tena mzee wa #Tunatekeleza amechoka kutudanganya kwa mapicha picha yake.
''Kwenye msafara wa kenge hata mijusi wapo.''
Ahaaaa ahaaaa, mwisho wa sifa za kijinga umefika, zile mada za sifa za kijinga zimekata saa hii naona unapiga methali na misemo tu. Pia usisahau na mgao wa umeme umeanza.
Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.