Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

April 7, 2020
Rufiji , Tanzania

Live Mubashara
LIVE MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA UMEME RUFIJI
Inasikitisha mwandishi wa habari na pia mtaalamu wa mradi wa bwawa la Julius Nyerere Hydro Power Project almaaruf Stiegler's Gorge wanaendesha kipindi mubashara huku wakipiga propaganda za kisiasa akijibu mitandao na wanaJF bila kujibu maswali mengi ya wananchi juu ya maendeleo ya mradi huu, changamoto zake na matarajio kiutaalamu
 
April 5, 2020

Siku 23 kurudisha usafiri wa reli Tabora Mpanda Katavi

 
April 10, 2020

Waziri Kamwelwe Atembelea Daraja la Lupa, Amwagiza Mtendaji Mkuu Mfugale kutuma wataalamu



Source : MbeyaYetuOnline TV
 
April 7, 2020
Rufiji , Tanzania

Live Mubashara
LIVE MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA UMEME RUFIJI
Inasikitisha mwandishi wa habari na pia mtaalamu wa mradi wa bwawa la Julius Nyerere Hydro Power Project almaaruf Stiegler's Gorge wanaendesha kipindi mubashara huku wakipiga propaganda za kisiasa akijibu mitandao na wanaJF bila kujibu maswali mengi ya wananchi juu ya maendeleo ya mradi huu, changamoto zake na matarajio kiutaalamu


Kwa mtu mwenye akili dakika 3 za mwanzoni zinatosha kumfanya ang'amue kuwa huu mradi unasuasua.
 
Wewe nawe unawasikiliza hao wajinga? Hakuna kitu ni mbwembwe za kutuona sisi wajinga wakati tunaelewa wao ndio wajinga.
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
 
Hatujadili majungu! Tanzania ilikuwa kwenye hai mbaya sana wakati wa JK, rejea vigenerator kila kona, miradi ya kufua umeme kwa kuwakandamiza Watanzania nk. Wafanyakazi hewa wakati wa JK walishamiri, hata watoto wake nao walikuwa kama marais nk, Membe naye ambaye ni ndugu alitaka kubatiziwa urais what a shame! Waungwana hukaa kimya.
A SHAME MEMBE KUWA RAIS ILA NI PROUD MATAKO KUJA KUWA RAIS?
 
Mradi wa Tanga-Hoima utakuwa na manufaa makubwa endapo utatekelezwa. Lakini suala la watu kudhani mradi huo utawapatia pesa za kuchota, kuanza kula samaki wa kupaka na kuacha kushindia mihogo ni fikra za mtu husika. Ambazo kimsingi huwezi kuzidhibiti.

Short term benefits za miradi kama hiyo hunufaisha "maelfu" tu ya watu walio kwenye mnyororo wa thamani wa utekelezaji wa mradi wenyewe (ujenzi).

Bali "mamilioni" waweza kunufaika kutokana na "derived" economic activities ikiwa mradi utatekelezwa ipasavyo.



Sent using Jamii Forums mobile app
Bado huna uhakika, sasa mbwbwe na kelele zilikuwa za nini?
 
Kweli kufanya kazi usiku na mchana sio effectiveness ya kazi pia sio kiashiria cha moja kwa moja cha kufanyika kazi. Kuna daraja toka oct 2019 mpka hii April 2020 kadaraja kadogo wanahangaika nako kama hadithi ya Mfalme ya nyuki isio isha. Akatoka akaingia akatoka akaingia akatoka akaingia...... siku, miezi miaka haiishi. Mkuu hii update kutoka Moro maeneo ya Azimio.
 
Bado huna uhakika, sasa mbwbwe na kelele zilikuwa za nini?
Kila mtu hutafsiri "mbwembwe na kelele" kutegemeana na upeo na akili yake. Kuna mwingine mradi kuzinduliwa na kupewa coverage na media zote kwake hizo ni mbwembwe. Yaana anataka miradi izinduliwe kimya kimya ili wadau mbalimbali hasa umma, wasiufahamu mradi kiundani.

Dunia ina watu zaidi ya bilioni nane hivi hivyo tegemea akili tofauti kwa idadi hiyo hiyo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi.

Hoja hizi mitandaoni hazina nguvu kwa wapiga kura. Ni busara kusubiri kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 vyama vitakapo pambanisha hoja, mbele ya wapiga kura, kwa miaka 5 vimewafanyia nini katika Kata, Majimbo ya uchaguzi na Taifa kwa ujumla.

Hivyo nakushauri ukusanye takwimu za kutosha kuongeza uzito kwenye hizo hoja ili wapiga kura wawe na ufahamu wa kutosha (informed decision) kuiondoa Serikali ya CCM unayodai.

Hoja
 
Nakwepaje hoja? Reli inajengwa. Unaweza kwenda site kuhakiki. Mwl. Nyerere Hydro power inajengwa. Tembelea site kajiridhishe. Issue ni Chadema wanajenga lini ofisi? Si wanaweza "kuchukua" nchi mwaka huu? Ahahahahahahah!!!
Kwa kweli ni aibu kubwa kwa chama cha siasa kikubwa kama Chadema kuendelea kupanga jengo tena jengo lenyewe kama la mtendaji wa kata wakati kina wanachama wengi tu, ruzuku, na hata vyama rafiki toka mataifa ya nje. Miaka zaidi ya 20 ofisi mbovu vile halafu wanaaminisha watu kwamba wakipewa kuongoza nchi hii wataeleta maendeleo. BADILIKENI SANA.
 
Mkuu, Iko hivi,Watanzania tukishindwa, Pia Raisi kashindwa,Raisi akishindwa Tanzania imeshindwa, Endelea kulipa Kodi ili tusishindwe, hii ni Kwa maraisi wote wajao hata akitokea upinzani, Tanzania ni yetu sote
Mkuu nawakumbusheni tu kwamba pia jf kuna watu wa Taifa la jirani (Kenya) hivyo pia wakti mwingine huja humu kuposti threads za challenge tz
 
Peleka utoto mbali. Kama vyerehani vinne ni kiwanda mbona nchi hii tayari ni ya viwanda?
Cherehani 4-10 zinaweza kuwa kiwanda kidogo huo ndio ukweli. Suala hapa je hizo cherehani 4 - 10 ni za aina gani (uwezo wake) na zinazalisha nini? Kama ni cherehani za kisasa na wanatengeneza kwa wingi nguo au viatu na vitu vingine kama hivyo vyenye quality ambavyo vinaweza kuuzwa ndani ya nchi na hata nje ya nchi basi hicho ni kiwanda maana kitafuata hatua zote za utengenezaji wa hizo bidhaa na kuajiri watu wenye sifa. Lakini kama hizo cherehani 4-10 zitakuwa ni za kushona viraka na mavazi ya mtu moja mmoja basi hicho si kiwanda.
 
Back
Top Bottom