hawa watu ni wajinga sana. hana anachokijua alafu anaona anajua. hata idea ya kwanin bomba linakuja tz na sio kenya mtu hajuiWell said. Miongoni mwa vitu vinavyokera ni kuona mtu anajitutumua kuhabarisha kuhusu kitu ambacho ni dhahili hana alijualo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app