Mwenye usafiri binafsi wa kutoka DSM kwenda Mwanza wiki hii

Mwenye usafiri binafsi wa kutoka DSM kwenda Mwanza wiki hii

Jitsu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
205
Reaction score
191
Wakuu habari!

Naulizia Kama Kuna mwenye usafiri wa private kutoka DSM kwenda MWANZA ndani ya wiki hii tuchekiane PM,Nina kiasi Cha kuchangia mafuta na ninahitajika kufika Mwanza kabla au siku ya Alhamisi.

Ahsante!
 
Jinsia yako ni muhimu kuiweka wazi, umri na photocopy ya kitambulisho cha nida
 
Kuna mshikaji wangu Yuko hapo bandarin anasubr gar yake mpya nadhan Leo ataipokea Then akimaliza mishe anakuja Mwanza vp unajua kuendesha! Rav 4 maana yeye bado learner
 
Kuna mshikaji wangu Yuko hapo bandarin anasubr gar yake mpya nadhan Leo ataipokea Then akimaliza mishe anakuja Mwanza vp unajua kuendesha! Rav 4 maana yeye bado learner
Hapana mkuu Sina uzoefu huo especially masafa marefu
 
Jinsia yako ni muhimu kuiweka wazi, umri na photocopy ya kitambulisho cha nida
Siombi ajira mkuu kamA utahitaji kunifahamu zaidi utaona hivyo vitu on sight
 
Mwenye usafiri binafsi kutoka Dar kwenda Mwanza siku ya kesho anisaidie nutachangia mafuta anichek 0785638531
 
Back
Top Bottom