Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza.

Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote.

Mwenye ushahidi juu ya hili alete
 
  • Thanks
Reactions: THT
wakuu nasubiri mchango wenu bas
 
Ulishazaa na mwanamke hata akiolewa nirahisi sana kupasha kiporo kama akiwa hajielewi, mimi ninaye huyo nilizaanaye 2012 akaolewa 2013 nikachukuwa mtoto wangu lakini mpaka sasa ninapiga mzigo tena bila kuhangaika bali ninapiga simu moja tu Mume anadanganywa anakuja ninamaliza mchezo anarudi, sikuzingine anaaga kwamba anasafiri kumbeanakuja kwangu najipimia... jamaa nayeye kamzalisha watoto wawili..
So brother ukioa mwanamke ambaye ameshazalishwa na jamaa ambaye bado yupo Hai jua yakwamba kugongewa inakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleen kutoa maoni wakuu
 
Mkuu nenda kamuoe tu singo maza wako.
Hayo mengine usichokonoechokonoe sana.
Usipo muoa ujue utamfanya awe double singo maza na haitakua njema hata kidogo
 
Wadau maon yaliyotolewa bado hayatosh kufanya hitimisho
 
Back
Top Bottom