Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakutoa?sio kweli ni stori tu za kuwatisha wengine wasioe wanawake tulioamua kuwakomoa, nina mwanamke nilimpa mimba bahati mbaya ilitoka, hajawahi nitafuta toka ameolewa wala lujibu meseji yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mtoto angekua hai leo hii ungekua unakula tunda bila shida mkuusio kweli ni stori tu za kuwatisha wengine wasioe wanawake tulioamua kuwakomoa, nina mwanamke nilimpa mimba bahati mbaya ilitoka, hajawahi nitafuta toka ameolewa wala lujibu meseji yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye ushahid wa kuona aje hapa atuthibitishie.
Wewe kama unataka kuoa single mother wako oa, sasa usipomuoa wewe akamuoe nani?
We jamaa unaweza kuleta ushahidi kwamba hao single mothers wakishaolewa hawapashi viporo?Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza.
Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote!!! Mwenye ushahidi juu ya hili alete
Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza.
Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote!!! Mwenye ushahidi juu ya hili alete
uliachana nao kwasababu zipi?Mimi hpa na watoto wawili na mama tofaut na wameshaolewa but anytime nikitaka huwa nakula na inakuwa mara nyingi wanaponiletea watoto
Na Kama huyo mwanamke akiwa hajielewi Kama huyo mzazi mwenzio.Ulishazaa na mwanamke hata akiolewa nirahisi sana kupasha kiporo kama akiwa hajielewi, mimi ninaye huyo nilizaanaye 2012 akaolewa 2013 nikachukuwa mtoto wangu lakini mpaka sasa ninapiga mzigo tena bila kuhangaika bali ninapiga simu moja tu Mume anadanganywa anakuja ninamaliza mchezo anarudi, sikuzingine anaaga kwamba anasafiri kumbeanakuja kwangu najipimia... jamaa nayeye kamzalisha watoto wawili..
So brother ukioa mwanamke ambaye ameshazalishwa na jamaa ambaye bado yupo Hai jua yakwamba kugongewa inakuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app