Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

unaanzaje mechi teyali goli moja mbele haki nawaambia singo maza haoni shida kuuza mechi ata kwa mtu ambaye ajazaa naye kuweni makini na ni ma bingwa kuwabandika baba bandia kuna case moja naifatilia inanipa walakini bint ana mtoto baba halali yupo mahali ila mtoto anatuzwa na baba fake kwa kuaminishwa i wake na jamaa hajui chochote very sad na binti bado anauza mechi kwa vijana ahhhhah
 
aliyekubali kuwa single maza huo ni msalaba wake na ww kijana unayeoa single maza maradhi ya ngono hayatoacha kukutafuna cc..24hrs
 
Wanawake wana hisia za ajabu sana.. anaweza akampa mzazi mwenzake wa zamani papuchi yake sababu anamtunza vizuri mwanae.. wanawake wana penda hela .. sasa ukute mzazi mwenzake ana pesa kuliko mume wake alie nae mda huo.. lazima ampe papuchi tu ili matunzo yazidi
 
Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza.

Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote!!! Mwenye ushahidi juu ya hili alete
We jamaa unaweza kuleta ushahidi kwamba hao single mothers wakishaolewa hawapashi viporo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuendelee kutoa maon wadau
 
Ila mi naona inategemea hulka kati ya mwanamke na mwanamke,kunawengine kupata mtoto ilikuwa ni kwa bahati mbaya tu,nakumbuka kuna mdada mmoja anamtoto lakini baba wa mtoto hana mpango nae kabisa
 
Ulishazaa na mwanamke hata akiolewa nirahisi sana kupasha kiporo kama akiwa hajielewi, mimi ninaye huyo nilizaanaye 2012 akaolewa 2013 nikachukuwa mtoto wangu lakini mpaka sasa ninapiga mzigo tena bila kuhangaika bali ninapiga simu moja tu Mume anadanganywa anakuja ninamaliza mchezo anarudi, sikuzingine anaaga kwamba anasafiri kumbeanakuja kwangu najipimia... jamaa nayeye kamzalisha watoto wawili..
So brother ukioa mwanamke ambaye ameshazalishwa na jamaa ambaye bado yupo Hai jua yakwamba kugongewa inakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Kama huyo mwanamke akiwa hajielewi Kama huyo mzazi mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom