Ukishaanza kuwaza kuwa unachapiwa ndio mwanzo wa kujipa stress tu na pressure za ovyo kama anakueshimu na anakujali tulia usiwaze haya mambo mwanamke ni pasua kichwa mzee wangu.
Ulishazaa na mwanamke hata akiolewa nirahisi sana kupasha kiporo kama akiwa hajielewi, mimi ninaye huyo nilizaanaye 2012 akaolewa 2013 nikachukuwa mtoto wangu lakini mpaka sasa ninapiga mzigo tena bila kuhangaika bali ninapiga simu moja tu Mume anadanganywa anakuja ninamaliza mchezo anarudi, sikuzingine anaaga kwamba anasafiri kumbeanakuja kwangu najipimia... jamaa nayeye kamzalisha watoto wawili..
So brother ukioa mwanamke ambaye ameshazalishwa na jamaa ambaye bado yupo Hai jua yakwamba kugongewa inakuhusu
Mkuu nenda kamuoe tu singo maza wako.
Hayo mengine usichokonoechokonoe sana.
Usipo muoa ujue utamfanya awe double singo maza na haitakua njema hata kidogo