Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

Well noted Bro. Sasa ni kuzuia safari zote hadi mwisho
 
coment kabla hujalala
 
jamani.
Hata ukioa mwanamke ambae sio single mum na hujamkuta bikra.
Basi lazima atakwichi kichwi na ex wake.
Si ndo kamtoa bikra.
Embe punguzeni ngebe kea single mom bana.
 
Reactions: THT
Unahisi baby dady kamfanya?
Anaogopa guu la zamani litakuwa limepiga patrol pangoni..

Sasa kama wewe miguu haipigi kwata(mchakamchaka) vizuri unategemea nini, nyasi zitaota pangoni, ndio hapo mguu wa zamani unapokumbukwa kuja kutoa taka mwili zoote pangoni
 
Kuwa na mtu mwenye mtoto na mtu (single mom/single dad) ni kama upo na mpenzi wa mtu tu.
 
sio kweli ni stori tu za kuwatisha wengine wasioe wanawake tulioamua kuwakomoa, nina mwanamke nilimpa mimba bahati mbaya ilitoka, hajawahi nitafuta toka ameolewa wala lujibu meseji yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sababu nimba ilitoka tu unadhan angezaa bado angekuwa hapokei simu wala kujivu texts kisa kaolewa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…