Uchaguzi 2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

Hayo yapo kwenye ilani?
 
Kwa aibu kubwa aliyonayo hawawezi kumtaja Lissu, akimtaja atapata Cardiac arrest attack
 
Shetani Hana ujasiri wa kutaja jina la Yesu, Bora umuuee lakini kutaja Yesu hataweza!
 
Mbona mnaweseka hivyo kijani kibichi Mambo bado , yakianzwa kutajwa aliyotenda Jiwe gizani ikulu kwa Ben Saanane na kunajisi ikulu mtakimbia , yakitajwa ya utekaji wa Mo , Purukushani za Makonda na kilichoitwa vita ya madawa ya kulevya . Uporaji pesa za watu kwenye akaunti zao benki , bureau de change n.k yapo mengi sana Jiwe kajitahidi kutafuta maadui kwa udi na uvumba sasa avune alichopanda .
 
Hakuna msifiaji aliyewahi kuacha jina la msifiwa. Tumesikia kila RC, DC, Mbunge na mawaziri wakisifia kwa kutaja jina. Ni haki kwa wakosoaji pia kutaja jina!!

Elections are about characters!!
 
Maghufuli ni Rais anayetetea kiti lazima atajwe si dhambi hata kidogo .

Pili mgombea wa Ccm anaposema kuna mtu ametumwa kutoka kwa mabeberu na kibaraka kwa maoni yake , huwa anammaanisha nani ?!
Anamaanisha aliyetumwa.
 
Kumbe atajwe nani kama siyo rais Magufuli, anaetumbua watumishi ni nani?

Mleta hela za barabara, maji, umeme, matundu ya choo, flaiova, sgr ni nani?
Msema kweli mpenzi wa Mungu ni nani?
Asiyepangiwa mambo na rais anaejiamini ni nani?

Asieleta "chakura" wakati wa njaa ni nani?
Aliyemwambia yule mama "shida yenu ni kupanuliwa tu" ni nani?

Mleta Noah kwa kila mtanzania ni nani?
Aliyesifiwa kwa kuleta kupatwa kwa jua Mbeya ni nani?

Sasa asipotajwa yeye atatajwa nani?
Hata kina Rungwe na Lipumba wanamtaja huyo huyo, haiwezekani kufanya kampeni bila kumtaja rais aliyepo madarakani na chama chake kwenye kampeni haiwezekani Dunia nzima.

Lazima atajwe kwa mema au mabaya yake, hivyo wana ccm vumilieni yote haya yatapita.

"Sifa na kuabudi zinatusubiria Mbinguni" lakini kutajwa hapa Duniani atatajwa sana na bado.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
expand...
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika...
Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.
A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time.
Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him....
He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people. This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque.
 
People should.look at the us elections understand what is campaign.
 
Hizo ndio siasa
Sasa ulitaka asitaje mapungufu ya mapinzani wake?

Anakosolewa Mpaka mungu alieumba kila kitu na sie yeye?
 
Ndio nini hiki?Au unajaribu kugundua nini?
Anajaribu kuelezea kwa njia rahisi kwamba mtu kwenye akili ndogo kama Lissu huzungumza kuhusu watu na watu wenye akili kubwa kama Rais Magufuli huzumgumza kuhusu issues.
 
Anajaribu kuelezea kwa njia rahisi kwamba mtu kwenye akili ndogo kama Lissu huzungumza kuhusu watu na watu wenye akili kubwa kama Rais Magufuli huzumgumza kuhusu issues.
Ajabu ni kwamba mmepigwa spana sasa mmerudi kwa refa ili mbebwe kwa mbeleko!Sasa NEC wafanye upuuzi,safari hii kitaeleweka!
 
Anamuogopa Sana hadi anashindwa kumtaja jina.
 
Awe kamtaja au hajamtaja hiyo haifanyi yeye kutotajwa alipoharibu,,Kama hayo mnayoyaita maadili yalilenga kuficha uovu Basi ni mambo ya hovyo na ya kupuuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…