Tangu lini pepo likataja jina la Yesu.Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaombele Cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Unajua shetani hawezi kulitamka jina la Yesu, huwa anaungua
kuna watu washamba wa democrasia. eti jiwe kuambiwa mwizi kipindi hiki cha kampeni wanaona ajaaabu.Unamaanisha vyama vya upinzani vinatakiwa vishambuliane jukwani Kwani ndio vilivyokua madarakani?
Lazima kiongozi aliyeko madarakani atajwe kipindi cha kampeni.
We mtoa mada sometimes mnajaza server za Jamii Forum bure
Unaijua Tanganyika Law Society wewe,Huko mbeleni itabidi kwenye CV ya ugombea Urais sifa ya kuwa ushawahi ongoza taasisi yenye watu zaidi ya 100 Iwe angalau ni kigezo kwani wagombea wetu wengi wanaongoza familia tu.JPM ameonyesha ukomavu miaka 5 tena anastahili.
Hapo sasaHivi unajisikiaje unapojua kwamba mtu uliyetaka kumuangamiza amepona na anajua wewe ndio ulitaka kumuangamiza
Fuatilia ya JOE na TRUMP ujionee......Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Hawezi mtaja anaogopa atapaliwa mate.Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
hawezi mtaja dhahiri, nafsi inamsuta!Kwani mheshimiwa anashindwa nini kumtaja lissu kwa kampeni zake?!
Magufuli ni Rais anayetetea kiti lazima atajwe si dhambi hata kidogo.
Pili mgombea wa CCM anaposema kuna mtu ametumwa kutoka kwa mabeberu na kibaraka kwa maoni yake, huwa anammaanisha nani?!
. Ndo uamini kuwa waliompiga risasi 16 Lisu wanatoka ndani ya chama Chao wenyeweMama Samia anavyosema askari wao hawawezi kumkosa mtu kwa risasi tatu anamaanisha nani?
Na hili ndio jibu sahihi kabisaUnajua shetani hawezi kulitamka jina la Yesu, huwa anaungua
Halafu serikali na jeshi lake lote imeshindwa kuwakamata, imeshindwa hata kuwakamata walinzi waliokuwa getini kwenye nyumba za viongozi. Ndo uamini kuwa waliompiga risasi 16 Lisu wanatoka ndani ya chama Chao wenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]Unajua shetani hawezi kulitamka jina la Yesu, huwa anaungua