Uchaguzi 2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

Uchaguzi 2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaombele Cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Tangu lini pepo likataja jina la Yesu.
 
Kama wewe ni jambazi, muuaji, mwizi, mtekaji, mchawi, mkabaji, unakula wake za watu, dhulmat, Una dharau, kejeli, mjivuni, mshamba, unajiona, unaitwa Yesu wa mbao, fedhuli, m'babe, kutamani kuabudiwa, kupenda misifa tu bila kukosolewa, n.k LAZIMA TUKUTAJE KILA SIKU unless you are less concerned from the mentioned Satanism.
 
Huko mbeleni itabidi kwenye CV ya ugombea Urais sifa ya kuwa ushawahi ongoza taasisi yenye watu zaidi ya 100 Iwe angalau ni kigezo kwani wagombea wetu wengi wanaongoza familia tu.JPM ameonyesha ukomavu miaka 5 tena anastahili.
 
Unamaanisha vyama vya upinzani vinatakiwa vishambuliane jukwani Kwani ndio vilivyokua madarakani?
Lazima kiongozi aliyeko madarakani atajwe kipindi cha kampeni.
We mtoa mada sometimes mnajaza server za Jamii Forum bure
kuna watu washamba wa democrasia. eti jiwe kuambiwa mwizi kipindi hiki cha kampeni wanaona ajaaabu.
 
Aliposema akishinda atampa kazi ndogo ndogo alimaanisha shangazi yako au
 
Amtaje mwendawazimu?ndo mana anavalisha kofia Kina nyuchi zuchi,maana watu walio na akili ndo hao vichaa kabisa bora zushu sijui.Si bora amtaje Pierre Likwid kuliko huyo.
Mtu kapelekwa matibabu kwenye Hajo kanchi Belgium anapiga makelele "Nimetembea kila mahali"
Nigga please hata huko ulienda kutibiwa wewe,wenzio tunaendaga huko kula kpomo na cassava,mbonu maana wakabila wote huko Anthwep wapo mpaka wanapika na moto wa kuni maana hawawezi kulipa bili ya Umeme hata gesi.
Mshamba mmoja hivi kafika hapo eti "nimetembea sana duniani"
Dunia gani?hakumbuki juzi tu kabla ya korona kuna wauaji waarabu walitoka huko wakafanya ukhanisi wao France Arena wakakimbia kurudi huko na wengine walikula shaba njiani wakikimbia,
Ndio mitaa aliyokaa huyu mgombea urais wa hiyo saccos na ugali vibawa aliopikiwa na wenyeji wake then kujiona anaweza kuwa rais.
Labda rais wa pumba na mashudu,hata mbuzi huwezi kuongoza,Magu yupo tu na miaka mi5 anakula,nyie kwanza mmalize bifu lenu la kodi kwenye kibanda hicho cha kufuga kuku hapo mkwepu st.hata ruzuku hamstahili
 
Huko mbeleni itabidi kwenye CV ya ugombea Urais sifa ya kuwa ushawahi ongoza taasisi yenye watu zaidi ya 100 Iwe angalau ni kigezo kwani wagombea wetu wengi wanaongoza familia tu.JPM ameonyesha ukomavu miaka 5 tena anastahili.
Unaijua Tanganyika Law Society wewe,
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Fuatilia ya JOE na TRUMP ujionee......

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Hawezi mtaja anaogopa atapaliwa mate.

Damu ya lissu iliyomwagika haitaondoka bure lazima atailipa hapa hapa duniani
 
Huwezi kumtaja mtu ULIYETAKA KUMUUA ..au we unaweza ??
 
Magufuli ni Rais anayetetea kiti lazima atajwe si dhambi hata kidogo.

Pili mgombea wa CCM anaposema kuna mtu ametumwa kutoka kwa mabeberu na kibaraka kwa maoni yake, huwa anammaanisha nani?!

Hata wewe pia unaweza kuwa yule mtu
 
. Ndo uamini kuwa waliompiga risasi 16 Lisu wanatoka ndani ya chama Chao wenyewe
Halafu serikali na jeshi lake lote imeshindwa kuwakamata, imeshindwa hata kuwakamata walinzi waliokuwa getini kwenye nyumba za viongozi
 
Back
Top Bottom