Uchaguzi 2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

Halafu serikali na jeshi lake lote imeshindwa kuwakamata, imeshindwa hata kuwakamata walinzi waliokuwa getini kwenye nyumba za viongozi
. Afu kingine mbn hata makada wao wenyewe wanauwawa je? Ni Nani hao wanaofanya hayo?
 
Kama unatembea na mke wa mtu, ukimwona Mme wake tu unaweza kukimbia ukidhani anajua...huwezi kuwa na Ujasiri wa kukutana naye..

Sasa Imagine Unakutana na mtU uliyetaka Afe lakini hakufa unamwona yuko Hai na Unakutana naye barabarani kila siku, Utakuwa na Ujasiri wa kumwita kwa Jina lake? Utaweza kumsalimia?
 
. Una uhakika?
 
Mleta mada ni kwamba aliyekuwepo madarakani ndiye mtekelezaji mkuu wa sera za chama kilichoshinda na kukabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi. Chama chochote cha upinzani ni lazima kiangalie mapungufu na kuyajengea hoja za ukosoaji . Hii ipo Dunia nzima.

Sasa mpinzani atakosaje kumtajataja aliyeko madarakani na aliye madarakani atamtaja mpinzani kwa lipi ilhali yeye ameshika dola na anakusanya kodi kwa maendeleo ya Taifa? Aliyepo madarakani anaweza kumtaja mpinzani kwa kumpiga vijembe ambavyo mara nyingi huwa havina nguvu sana.
 
Jina la Lissu ni kaa la moto. Mtu mwenye muujiza wa kupona risasi 16 zilizotokana na amri ya magufuli..
 
kuna watu washamba wa democrasia. eti jiwe kuambiwa mwizi kipindi hiki cha kampeni wanaona ajaaabu.
Mbona jiwe mwenyewe anawaita watu majizi, yeye akiwa jizi ajabu itoke wapi?
Hao wanaoshangaa ndiyo wale waliomfanya "mungu" wao na Yeso wa Kangi.
 
Anaogopa kumtaja Tundu lisu maana anajua akimtaja watu watashangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…