CHADEMA ni wapinzani wa CCM lazima mtukufu Magufuli azungumziwe bila kuchoka wala kuchuja mapungufu yakeTunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Na ulaji wa 10% ununuzi wa NdegeMagufuli si alikuwa anapenda kutajwa tajwa kwenye na kila kitu, hata watu wakipata ajali wakipona badala ya kushukuru Manesi na Madakari anatajwa yeye
Sasa ni lazima atajwe tena huyohuyo kwenye uovu na ufisadi na ulaji wa rambirambi.
Mtukufu magufuli anawabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji mwingi kwa wapinzani wanaacheje kumtaja?Sasa kama Magufuli ameharibu hii nchi kila kona kwa nini asitajwe kila saa?Wewe unaweza kuzungumzia ufisadi bila kumtaja anaefanya ufisadi?Yeye Lissu amefanya nini hadi atajwe na Magufuli?
Bonge la jibu. Safi sana mkuuUnajua shetani hawezi kulitamka jina la Yesu, huwa anaungua
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa. B.[/ QUOTE] Huwe unatunza kumbukumbu, wakati yupo singida kwenye kampeni akiwaambia wanasingida kuwa, mwambie kijana wenu haache kugombei urais kwani hata shinda, haje nimtafutie kazi ndogondogo alikuwa anamaanisha nani ?
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Magufuli hana jeuri ya kumtaja Lisu kwasababu hana hoja ya msingi atayoongea itakayomfanya amtaje Lisu. Huo ndio ukweli. Lakini Lisu ana mambo kibao ya kuongelea dhidi ya Magufuli na ndio maana ana guts za kumtaja kila wakati kutokana na mambo hayo kumuhusu Magufuli direct.Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
ni kwa vile MATAGA & Magufuli kwa miaka yote 5 hicho kinachoitwa "mafanikio" wameki personalise kama "mafanikio ya Magufuli".Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Mara ya mwisho kumtaja nina ni aliphatic dikiwa twitter ya kumpa pole bass Jamaa mwoga sana hata chakubanga na Bashiri hawajawhi sema au kulitaja hilo jinaNdio nini hiki? Au unajaribu kugundua nini?
Simba kumtaja Yanga, and vice versa ni jambo la kawaida.. tuliza kijambio kipigwe hewaTunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Yaani ungejua jinsi shetani anavyomuogopa Mungu hata kulitaja tu jina lake husingeuliza swali kama hili.Lissu ana umaarufu gani?.
Huwa hataji majina bali huamrisha wapigwe risasi na wasio julikana.Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.