Uchaguzi 2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

Anaona haibu mtu,alipigwa risasi ukajua atakufa hakufa,wakamnyang'Anya ubunge ili aathirike,wakaacha kumsaidia gharama za matibabu,wakazuia watu wasimuombee Lissu,hivi leo unamtaja mtu huyo unajisikaje,hata kama wewe hukuhusika na kumpiga risasi lkn wewe ndio baba wa Tanzania ungetoa neno kuwa mpeni haki zake Lissu hakuna ambae angepinga
 
Magufuli anahusika na shambulizi la Lissu , over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajisikiaje unapojua kwamba mtu uliyetaka kumuangamiza amepona na anajua wewe ndio ulitaka kumuangamiza
Hizo ni hisia kweli askari akukose tena atumie mbinu yakipuuzi vile .Wewe unapigwa moja tu tena ukiwa unashuka gari au sumu inakuua pole pole mnalidhalilisha jeshi la polisi kwa kweli .
 
Shetani ni yule aliye kataliwa na wananchi Kisha kuhamasisha maandamano.
 
Shetani ni yule aliye kataliwa na wananchi Kisha kuhamasisha maandamano.
Wananchi wamegoma, wananchi na roho kama ZA wajumbe wetu tumewaambia "sababu mliamua kuikimbia corona bungeni sasa na sisi tumeamua kuwaweka karantini"
 
Tundu Lisu amemtaja sana huyo meko kwasababu hamuogopi hata kidogo lakini meko anamuogopa sana Tundu Lisu ndio maana alikuwa hathubutu kbs kumtajataja.
 
Hana sababu ya kumtaja

Kwa upande mwingine Lissu ana sababu ya kumtaja Magufuli na si Dhambi endapo anamtaja kwa Mambo ya ukweli.

Au unataka awe mnafiki aseme "Kuna mgombea alikula rambi rambi za Kagera"?
Jamaa alitaka aseme " kuna jamaa kajenga uwanja wa ndege kwao"
 
Ange mtaja ingeuongeza kipato au ingepunhuza au ni kesi
 
Atamtajaje Marehemu? Risasi 16 hata mimi sitathubutu kumtaja marehemu aliyefufuka huwa inakuwa ni mkosi.
 
Katika sayansi ya siasa Lissu alikuwa anafanya kosa kubwa sana. Kimsingi Lissu alikuwa anamnadi Magufuli kila jukwaa alilopanda.amemsaidia sana Magufuli hata zile sehemu ambazo hakufika kabisa. Kama ulimsikia Dr. Bashiru Ally alisema mapema watafanya kampeni za kisayansi tena watashinda kwa kishindo maana wanashindana na vyama dhaifu. Hata mabango tu walishindwa kubandika. Mwaka 2015 Mzee Lowassa aliwasaidia sana kupata kura na hasa kuongeza viti kwa wabunge wa upinzani. Mwaka huu ulikuwa Hali no mbya sana. Sasa wangewezaje kushinda kwa maandalizi dhaifu kama haya
 
Tundu Lisu amemtaja sana huyo meko kwasababu hamuogopi hata kidogo lakini meko anamuogopa sana Tundu Lisu ndio maana alikuwa hathubutu kbs kumtajataja.
Kumbe
 
Kwani kanyimwa haki gani mkuu
 
Moderator nyuzi nyingine muwemnazipiga ban tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…