Uchaguzi 2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Anaona haibu mtu,alipigwa risasi ukajua atakufa hakufa,wakamnyang'Anya ubunge ili aathirike,wakaacha kumsaidia gharama za matibabu,wakazuia watu wasimuombee Lissu,hivi leo unamtaja mtu huyo unajisikaje,hata kama wewe hukuhusika na kumpiga risasi lkn wewe ndio baba wa Tanzania ungetoa neno kuwa mpeni haki zake Lissu hakuna ambae angepinga
 
Magufuli anahusika na shambulizi la Lissu , over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajisikiaje unapojua kwamba mtu uliyetaka kumuangamiza amepona na anajua wewe ndio ulitaka kumuangamiza
Hizo ni hisia kweli askari akukose tena atumie mbinu yakipuuzi vile .Wewe unapigwa moja tu tena ukiwa unashuka gari au sumu inakuua pole pole mnalidhalilisha jeshi la polisi kwa kweli .
 
Tangu lini NURU (Tundu Lissu) na GIZA (Magufuli) vikachangamana na kuwa kitu kimoja?

Je, shetani anaweza kulitaja jina la YESU KRISTO? Thubutu. Ataungua moto bila huruma...

Na hivi itawezejanaje? Kwamba, mtu uliyemtandika risasi 16 za bunduki aina ya AK47 na SMG halafu akafa na baadaye kufufuka, utapata wapi ujasiri wa kulitaja jina lake tu achilia mbali kukaa naye meza moja mnywe chai??

Kama unataka kujua kuwa hili haliwezekani, muulize shetani aliyewaingia watawala wa Kiyahudi na Kirumi kumshtaki Yesu Kristo kwa uongo, wakamhukumu kumsulubisha msalabani mpaka akafa, wakamzika na baadaye akafufuka na kuwatokea akiwa hai....

Waulize hao watawala wa Kiyahudi na Kirumi kama wana ujasiri wa achilia mbali kutaja jina lake tu bali wa hata kumtazama tu. Hawawezi kama ambavyo huyu mzee hataweza kamwe....!!

Hii ni asili ya kawaida, kwamba, shetani kamwe hawezi kulitamka jina la Yesu Kristo kwa sababu hiyo ni NURU na GIZA...

TUNDU LISSU ni NURU na MAGUFULI ni GIZA. Nuru na Giza havichanganani kamwe...!!
Shetani ni yule aliye kataliwa na wananchi Kisha kuhamasisha maandamano.
 
Wananchi wamegoma, wananchi na roho kama ZA wajumbe wetu tumewaambia "sababu mliamua kuikimbia corona bungeni sasa na sisi tumeamua kuwaweka karantini"
 
Tundu Lisu amemtaja sana huyo meko kwasababu hamuogopi hata kidogo lakini meko anamuogopa sana Tundu Lisu ndio maana alikuwa hathubutu kbs kumtajataja.
 
Hana sababu ya kumtaja

Kwa upande mwingine Lissu ana sababu ya kumtaja Magufuli na si Dhambi endapo anamtaja kwa Mambo ya ukweli.

Au unataka awe mnafiki aseme "Kuna mgombea alikula rambi rambi za Kagera"?
Jamaa alitaka aseme " kuna jamaa kajenga uwanja wa ndege kwao"
 
Ange mtaja ingeuongeza kipato au ingepunhuza au ni kesi
 
Atamtajaje Marehemu? Risasi 16 hata mimi sitathubutu kumtaja marehemu aliyefufuka huwa inakuwa ni mkosi.
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Katika sayansi ya siasa Lissu alikuwa anafanya kosa kubwa sana. Kimsingi Lissu alikuwa anamnadi Magufuli kila jukwaa alilopanda.amemsaidia sana Magufuli hata zile sehemu ambazo hakufika kabisa. Kama ulimsikia Dr. Bashiru Ally alisema mapema watafanya kampeni za kisayansi tena watashinda kwa kishindo maana wanashindana na vyama dhaifu. Hata mabango tu walishindwa kubandika. Mwaka 2015 Mzee Lowassa aliwasaidia sana kupata kura na hasa kuongeza viti kwa wabunge wa upinzani. Mwaka huu ulikuwa Hali no mbya sana. Sasa wangewezaje kushinda kwa maandalizi dhaifu kama haya
 
Anaona haibu mtu,alipigwa risasi ukajua atakufa hakufa,wakamnyang'Anya ubunge ili aathirike,wakaacha kumsaidia gharama za matibabu,wakazuia watu wasimuombee Lissu,hivi leo unamtaja mtu huyo unajisikaje,hata kama wewe hukuhusika na kumpiga risasi lkn wewe ndio baba wa Tanzania ungetoa neno kuwa mpeni haki zake Lissu hakuna ambae angepinga
Kwani kanyimwa haki gani mkuu
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Moderator nyuzi nyingine muwemnazipiga ban tu
 
Back
Top Bottom