Uchaguzi 2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaombele Cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Wasira ana jibu la swali lako
 
Unamaanisha vyama vya upinzani vinatakiwa vishambuliane jukwani Kwani ndio vilivyokua madarakani?
Lazima kiongozi aliyeko madarakani atajwe kipindi cha kampeni.
We mtoa mada sometimes mnajaza server za Jamii Forum bure
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaombele Cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Kwani mheshimiwa anashindwa nini kumtaja lissu kwa kampeni zake?!
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaombele Cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Mkuu ulishawahi kuona au kusikia wapi kwenye nyumba za ibada waabudu tu bila kumshambulia shetani 😂😂😂
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaombele Cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Magufuli ndiye Rais for the time being. Utwala na matendo ya serikali ya sasa vipo mikononi mwake, Hivyo kwa yeye kutumika kama point of reference haliepukiki. Kibaya ni kutukana au kumzushia uongo.

Lakini hata yeye hutaja Lissu directly na indirectly. Mifano ipo . Na hilo sio tatizo.
 
Kuna Mwana CCM mkubwa kabisa alisema itakuwa ni ajabu kabisa kwa Mchungaji au Imamu kumaliza ibada bila kumtaja shetani.

Hivyo kumtaja mbaya wako sio mbaya
 
Magufuli si alikuwa anapenda kutajwa tajwa kwenye na kila kitu, hata watu wakipata ajali wakipona badala ya kushukuru Manesi na Madakari anatajwa yeye
Sasa ni lazima atajwe tena huyohuyo kwenye uovu na ufisadi na ulaji wa rambirambi.
Magufuli ni kiongozi smart. Hawezi poteza muda kutaja genge la wapigaji ingawa anawajua wote.
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaombele Cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Kama mgombea wa Polepole hataki kutajwa kwenye kampeni asigombee. Akajifungie chumbani kwake
 
Halafu ukishaletewa huo ushahidi ndio CCTV Camera mnarudisha??

K§nge kweli ccm wote
 
Back
Top Bottom