Mwenye uwezo wa kunipa mchongo wa kazi. Nina Shahada ya Fedha, Mipango na Uwekezeji (Bachelor Degree in Finance and Investment Planning)

Mwenye uwezo wa kunipa mchongo wa kazi. Nina Shahada ya Fedha, Mipango na Uwekezeji (Bachelor Degree in Finance and Investment Planning)

M.Rutabo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
1,031
Reaction score
2,647
Wakuu nafahamu hapa JamiiForums kuna watu wenye connection mbalimbali, tafadhali sana kama mnaweza kunisaidia kwenye jambo hili maana nahisi kama sijaitendea haki field yangu.
 
Back
Top Bottom