Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti nimemuona ni bubu nahitaji nimnusuru kwa maana ya kumuoa.
Kuhus mawasiliano nashukuru tunaelewana japo kwa ishara japo ndio hivyo ni mwendo wa aba ba ba ba lakini sio inshu sana cha muhimu lile la muhimu kama mke analimudu.
Ningependa kupata mbili tatu wenye uzoefu wa hawa mabubu.