Hilo la kugongew wala usilitoe akilini unawaza huyo bubu atakuwa bado bikira? Hapo cha umuhimu ni upendo heshima na uwaminifu binadamu woooote ni sawa tu, kama ww umeweza kumpata bubu hata mm sishindwi unyesha upendo mkuuNyumba itakuwa haina Gubu, penzi lenu litadumu, Sahau kuhusu kugongewa, kupewa umbea na majirani
Mkuu mabubu wako lovely sana. Ila wako wa aina mbili. Wale wapole na wepesi wa kusamehe na wale wakali, wakorofi na wasio samehe pale anapofanyiwa unyanyasaji wa aina yoyote ile. Kazi kwako mie siongezi neno jipime mwenyewe kabla ya kuyavulia maji nguo na kuyaoga maana kifo na maisha ya amani na starehe kwako ni 50/50 kutegemea na aina ya bubu uliyempata.Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada,kuna binti nimemuona ni bubu nahitaji nimnusuru kwa maana ya kumuoa.
Kuhus mawasiliano nashukuru tunaelewana japo kwa ishara japo ndio hivyo ni mwendo wa aba ba ba ba..lakini sio inshu sana cha muhimu lile la muhimu kama mke analimudu.
Ningependa kupata mbili tatu wenye uzoefu wa hawa mabubu.
Uzi tayari.
Dah mbona kama una idea fulani halafu hutaki kufunguka?Mkuu mabubu wako lovely sana. Ila wako wa aina mbili. Wale wapole na wepesi wa kusamehe na wale wakali, wakorofi na wasio samehe pale anapofanyiwa unyanyasaji wa aina yoyote ile. Kazi kwako mie siongezi neno jipime mwenyewe kabla ya kuyavulia maji nguo na kuyaoga maana kifo na maisha ya amani na starehe kwako ni 50/50 kutegemea na aina ya bubu uliyempata.
Dah mbona kama una idea fulani halafu hutaki kufunguka?
Nifunguke vipi zaidi ya hapo. Kifupi ukitangulia kabla yake patachimbika. Hakuna kushuka mpaka kieleweke. Mwenzako nina makovu ya meno na kucha kifuani mpaka basi. Kuna siku nilivua shati hosipitali Dr. alishangaa sana ikabidi nijitetee kuwa ni paka wa home aliniparua nikiwa nimelala kwa sababu ya kukoroma.Dah mbona kama una idea fulani halafu hutaki kufunguka?
ila kumbka mabubu wananguvu zaidi kwahiyo anza zoez gymWakuu niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti nimemuona ni bubu nahitaji nimnusuru kwa maana ya kumuoa.
Kuhus mawasiliano nashukuru tunaelewana japo kwa ishara japo ndio hivyo ni mwendo wa aba ba ba ba lakini sio inshu sana cha muhimu lile la muhimu kama mke analimudu.
Ningependa kupata mbili tatu wenye uzoefu wa hawa mabubu.
Ohooo..Nifunguke vipi zaidi ya hapo. Kifupi ukitangulia kabla yake patachimbika. Hakuna kushuka mpaka kieleweke. Mwenzako nina makovu ya meno na kucha kifuani mpaka basi. Kuna siku nilivua shati hosipitali Dr. alishangaa sana ikabidi nijitetee kuwa ni paka wa home aliniparua nikiwa nimelala kwa sababu ya kukoroma.
Hakuna shida yoyote kwa kuwa penzi halina umri au ulemavu wowote. Kuna familia ya mme bubu na kiziwi wakati mke ni kipofu lakini wanawasiliana na maisha yao ni ya upendo wa hali ya juu.Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti nimemuona ni bubu nahitaji nimnusuru kwa maana ya kumuoa.
Kuhus mawasiliano nashukuru tunaelewana japo kwa ishara japo ndio hivyo ni mwendo wa aba ba ba ba lakini sio inshu sana cha muhimu lile la muhimu kama mke analimudu.
Ningependa kupata mbili tatu wenye uzoefu wa hawa mabubu.