Kuna ukweli kama bado unawasiliana na exnampenda ex wangu.
Bro!! Kwanza tambua mwanamke wako uyo sio mtu sahihi na wewe mwanamke anatakiwa awe submissive kwako kama ye hataki kuwa na utii na wewe withdraw mapema sana afu mwanamke ambe haishiwi manunguniko na wewe uyo kipere achana nae mtupe brother atakutesa sana haswa ukizingatia ni mshangazi akunaga mapenzi ya ivyo uyo muda wowote anakutafutia mbadala.Mapenzi sio mchezo.
Kuna mushangazi mmoja niliingia nao kwenye mahusiano, kwa nia ya kuuoa. Ndoa ilikuwa tufunge nao majira ya kabla ya mwezi 10 kuisha.
Navumilia mengi ana badirika kama kinyonga, Leo story kesho ugomvi mala anitishie kuni block , hataki kupokea simu, hajibu sms .
Nikikaa kimyaa kuheshimu mawazo yake na tabia zake, anaanzisha mtiti mwingine na kuanza kunituhumu sina hisia nae mala nipo nae ili mradi tu ila simpendi, nampenda ex wangu. Kuna mahala nachoka hizi tafrani, na mbaya nilikuwa nimeutambulisha hata kwa rafiki zangu, na nikakubaliana nao kuishi hata nje ya nchi maana hautaki kukaa hapa bongo.
Hebu wenye uzoefu na aina hii ya mahusiano mnisaidie. Najua linanipenda ila sasa sijui lina matatizo gani ambayo mie siyaelewi, ambayo linapenda ugomvi na ubabe
Hapana mkuu, sina mawasiliano kabisa na ex ya aina yoyote. Ni hisia zake, maana kwa mfano Kuna siku kaniambia nilikuwa nae wakati hakuna kitu kama hichoKuna ukweli kama bado unawasiliana na ex
Mapenzi sio mchezo.
Kuna mushangazi mmoja niliingia nao kwenye mahusiano, kwa nia ya kuuoa. Ndoa ilikuwa tufunge nao majira ya kabla ya mwezi 10 kuisha.
Navumilia mengi ana badirika kama kinyonga, Leo story kesho ugomvi mala anitishie kuni block , hataki kupokea simu, hajibu sms .
Nikikaa kimyaa kuheshimu mawazo yake na tabia zake, anaanzisha mtiti mwingine na kuanza kunituhumu sina hisia nae mala nipo nae ili mradi tu ila simpendi, nampenda ex wangu. Kuna mahala nachoka hizi tafrani, na mbaya nilikuwa nimeutambulisha hata kwa rafiki zangu, na nikakubaliana nao kuishi hata nje ya nchi maana hautaki kukaa hapa bongo.
Hebu wenye uzoefu na aina hii ya mahusiano mnisaidie. Najua linanipenda ila sasa sijui lina matatizo gani ambayo mie siyaelewi, ambayo linapenda ugomvi na ubabe
Bro!! Kwanza tambua mwanamke wako uyo sio mtu sahihi na wewe mwanamke anatakiwa awe submissive kwako kama ye hataki kuwa na utii na wewe withdraw mapema sana afu mwanamke ambe haishiwi manunguniko na wewe uyo kipere achana nae mtupe brother atakutesa sana haswa ukizingatia ni mshangazi akunaga mapenzi ya ivyo uyo muda wowote anakutafutia mbadala.
Pesa ni jawabu la mambo yote. Kuita mushangazi haimaanishi mie kijana lelewa.Tafute hela
Pesa ni jawabu la mambo yote. Kuita mushangazi haimaanishi mie kijana lelewa.
Unanipelekesha, na unapenda kunipelekesha, nimejifanya mjinga ila naona inafikia mwishoKaz kwel. Mbona kama unaendeshwa?
Sawa mzeeTafuta pesa kijana
Dogo, teleza kimyaaa kimyaaaaaaaaa. Usiage usitafute reconsiliation. Tembea na usitake tena hats mawasilianoUnanipelekesha, na unapenda kunipelekesha, nimejifanya mjinga ila naona inafikia mwisho
Kwamba unageuka sex machineShida ya mishangazi usipolikaza vizuri linaanza kukutreat kama mtoto wake, just my two cents.