- Thread starter
- #21
Mapenzi ya kizazi cha Tesla, ni changamoto. Tukianza chap ilale nayo sio salama ni kujivunjia heshimaChangamoto sana

Asante sana. Mkuu nilikuwa combine na mawazo ya wazee wenzangu. Ili nisije Fanya maamuzi badae nikawa kama nimezingua kwa sehemu haya nilikuwa nawaza kuyafanyaDogo, teleza kimyaaa kimyaaaaaaaaa. Usiage usitafute reconsiliation. Tembea na usitake tena hats mawasiliano
Sio mshangazi wa mbezi beach kweli huu. Baba yake alikua Baloz nchi Fulani. Una watoto wawiliMapenzi sio mchezo.
Kuna mushangazi mmoja niliingia nao kwenye mahusiano, kwa nia ya kuuoa. Ndoa ilikuwa tufunge nao majira ya kabla ya mwezi 10 kuisha.
Navumilia mengi ana badirika kama kinyonga, Leo story kesho ugomvi mala anitishie kuni block , hataki kupokea simu, hajibu sms .
Nikikaa kimyaa kuheshimu mawazo yake na tabia zake, anaanzisha mtiti mwingine na kuanza kunituhumu sina hisia nae mala nipo nae ili mradi tu ila simpendi, nampenda ex wangu. Kuna mahala nachoka hizi tafrani, na mbaya nilikuwa nimeutambulisha hata kwa rafiki zangu, na nikakubaliana nao kuishi hata nje ya nchi maana hautaki kukaa hapa bongo.
Hebu wenye uzoefu na aina hii ya mahusiano mnisaidie. Najua linanipenda ila sasa sijui lina matatizo gani ambayo mie siyaelewi, ambayo linapenda ugomvi na ubabe
baMtu Binti wa zamaniMapenzi sio mchezo.