Mwenye uzoefu wa aina hii ya mahusiano. Mawazo yake

Dogo, teleza kimyaaa kimyaaaaaaaaa. Usiage usitafute reconsiliation. Tembea na usitake tena hats mawasiliano
Asante sana. Mkuu nilikuwa combine na mawazo ya wazee wenzangu. Ili nisije Fanya maamuzi badae nikawa kama nimezingua kwa sehemu haya nilikuwa nawaza kuyafanya
 
Sio mshangazi wa mbezi beach kweli huu. Baba yake alikua Baloz nchi Fulani. Una watoto wawili
 
Jamaa apo ata pigwa kitu kizito akiendelea kusubiri we jikatae mapema uyo mshangazi anaona yeye ndiyo kila kitu kwako ndy maana analeta dharau za hivyo ......
 
Kaa nao chini lichane fresh tu
Na mkumbushe kuwa unaweza kuishi bila yeye na maisha yako yakawa na amani
Na usimsahaulishe kuwa unahitaji mahusiao ya utulivu na sio ya hekaheka ungetaka hekaheka ungeenda kwa vitoto vya 2000

Ukiona haelewi piga chini na usisahau no reform no election
 
baMtu Binti wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…