Na hao wanaozungumzia kukuza uchumi wamesaidia kwa kiasi gani kukuza uchumi?Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
Ameshapiga general kampeni kimya kimya ikiambatana na ziara za ufunguzi wa miradi, umepigwa chenga kijana usione lolote,.Mwenye video ya mke wa Hafidhi akipiga kampeni mahala popote pale hapa Tanganyika ktk harakati za uchaguzi huu wa serikali za mitaa aiweke hapa.
Huyu lissu nashangaa ndio kuna wanaanza kumjua. Ni maneno tu uchumi wala hajui. Amejaa fikra za kiliberali anafikiri kuruhusu uhuru mtu kuropoka chochote na kutenda chochote hadi ushoga ndio demokrasia na kwamba demokrasia ya kileberali ndio kitu nchi inahitaji kuendelea kiuchumi. Yaani hajui chochote kuhusu kuendeleza nchi kiuchumi na kuona uchumi unanufaisha wananchi wote.Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
Ushoga mmeruhusu nyie wapuuz wa ccm kama unabisha kamuulize pididy.Huyu lissu nashangaa ndio kuna wanaanza kumjua. Ni maneno tu uchumi wala hajui. Amejaa fikra za kiliberali anafikiri kuruhusu uhuru mtu kuropoka chochote na kutenda chochote hadi ushoga ndio demokrasia na kwamba demokrasia ya kileberali ndio kitu nchi inahitaji kuendelea kiuchumi. Yaani hajui chochote kuhusu kuendeleza nchi kiuchumi na kuona uchumi unanufaisha wananchi wote.
Umemsahau yule aliyesema "Rais Yuko ofisini anachapa kazi na anawasalimuni nyote"Ameshapiga general kampeni kimya kimya ikiambatana na ziara za ufunguzi wa miradi, umepigwa chenga kijana usione lolote,.
Sikuwa wahi msikia Lissu, mbowe, wakitoa masta plan ya kisomi juu ya kunyanyua uchumi, hakuna framework, sasa utamchaguaje kiongozi wa aina hii, aidha hebu fikiri mara PA chadomo imeshinda, hebu jaribu ku draft serekali yao, Sugu waziri wa fedha, lema waziri mkuu, hivi huoni hapa Pana vichekesho?.
Kwani uchaguzi mkuu tayari?Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
tangu alivyowafukuza Zitto na Kafulila nilimwona wa hovyo sanaShida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
Ndio maana CDM inataka midahalo iwepo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu kama wafanyavyo wamarekani. Ccm hamtaki midahalo sababu wagombea wenu hawana content kichwani.Ameshapiga general kampeni kimya kimya ikiambatana na ziara za ufunguzi wa miradi, umepigwa chenga kijana usione lolote,.
Sikuwa wahi msikia Lissu, mbowe, wakitoa masta plan ya kisomi juu ya kunyanyua uchumi, hakuna framework, sasa utamchaguaje kiongozi wa aina hii, aidha hebu fikiri mara PA chadomo imeshinda, hebu jaribu ku draft serekali yao, Sugu waziri wa fedha, lema waziri mkuu, hivi huoni hapa Pana vichekesho?.
Una Ya Samia inapozungumzia namna ya kukuza uchumi?Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
Yani baada ya kukosa hela ya kula unataka TAML akufundishe ushikaji wa kijiko?Mambo ya uchumi muulize Mpango na Madelu.Wewe vipi?Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
Hawana tofauti na mleta uzi. Bure kabisa.Ndio maana CDM inataka midahalo iwepo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu kama wafanyavyo wamarekani. Ccm hamtaki midahalo sababu wagombea wenu hawana content kichwani.
Anakusanya kodi? Hii muulize yule Mama anaye kusanya kodi na kuzitumia kwa anasa.Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.