Mwenye video ya Tundu Lissu akizungumzia namna ya kukuza uchumi wa nchi ailete

Ndiyo maana wanashindwa chaguzi kwa sababu hawana sera
 
Kwa nini ruzuku ya chama inaingia kwenye akaunti ya benki binafsi ya Mbowe? Hili ni swali ambalo wanachama wanahitaji majibu yake," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City.

Lissu alidai kuwa matumizi ya ruzuku ya Chadema yamekosa uwazi, na akahoji ni kwa nini fedha za chama zinazotolewa na serikali hazipiti moja kwa moja kwenye akaunti rasmi ya chama. "Hatuwezi kuendelea kuendesha chama kwa utaratibu usiofuata taratibu za uwajibikaji na uwazi. Wanachama wanahitaji kufahamu kila senti ya ruzuku inatumikaje," aliongeza Lissu.

Alisisitiza kuwa moja ya sababu kubwa zinazomfanya agombee nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema ni kuhakikisha chama kinarejesha misingi ya demokrasia, uwazi, na uwajibikaji. "Hatuwezi kuwa chama kinachopigania uwazi na demokrasia nchini wakati ndani ya chama kuna mambo ya kificho," alisema Lissu, huku akiungwa mkono na baadhi ya wafuasi wake waliokuwa kwenye mkutano huo.
 
Lissu anapwaya sana kwenye mambo practical. Harakati zake zipo kisiasa zaidi. BTW, nasimama na Odero.
 
Mimi nileteeni video ya mwanaccm yeyote akikemea rushwa
 
Leo umemgeuka - mwenyekiti wako mpya wa CDM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…