Mwenyekiti atishia kwenda kwa Rais mbele ya Waziri Lukuvi

Mjuaji sana
 
Mkuu umesema kweli kabisa, mf; Arusha kuna tabia hiyo sana badala ya kiongozi kuwasemea wananchi hili wananchi wapate ardhi yeye anaichukua na kugawana viongozi wanzake.
 
Lukuvi unamjua vizuri?
Tuulize wahehe wenzie.
 
Huyu mwananchi amemdharau sana Lukuvi, na kaongea kishari shari sana.

Haya ndiyo matatizo ya dikteta kuhodhi madaraka yote. Wananchi wanaanza kuwaona mawaziri kama takataka tu.

Mitano tena!
Nimependa sana huyo mwamba, safi sana.
 
Mi mwenyewe hizi swaga za mimi fulani or usipofanya ntamuambia boss wako hua siziwezi aisee...
kuna siku PS wa director pc yake ilizingua akanipigia simu bt at the time nlikua nna issue nyingine, nikamwambia weka request yako kwenye helpdesk wengine waje kukusaidia or nikimaliza ntakuja kukusaidia akanipa swaga za ntaenda kuchukua laptop ya director nitumie hadi utakapokuja just to intimidate me...nikamwambia kachukue ila ukienda kuchukua siji kabisa maana utakua ushapata laptop ya kufanyia kazi nikakata simu nikendelea na issue zangu..kuna watu we don't work well na vitisho...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah nimechekaa ulimjibu kibabe
 
Haijalendeza huyo mwananchi kutangulia jina na nafasi ya babayake , hii maanayake wasio na ndugu serikalini hawana haki ya kupewa kipao mbele!
Umenikumbusha, wale jamaa huwa wanatishia i.e...hivi unajua unazungumza na nani??
 
Huyu mwananchi amemdharau sana Lukuvi, na kaongea kishari shari sana.

Haya ndiyo matatizo ya dikteta kuhodhi madaraka yote. Wananchi wanaanza kuwaona mawaziri kama takataka tu.

Mitano tena!
Safi sana
 
Hili linaonyesha jinsi ganj watanzania hawawezi kutatua kero za wananchi waliowachagua.

Waziri wa ardhi ameteuliwa kusaidia wananchi na sio kuwa mbabe. Kuna tatizo moja kubwa sana ndani ya jamii yetu mhusika mwenye dhaman ya kutatua matatizo ya watu anataka afuatwe kwa adabu, aombwe pengine apewe na rushwa.

Ninafikiri umefika wakati sasa mmojawapo kati ya majaliwa au Mama Samia aweke mfumo wa moja kwa moja wa kupokea shida za wananchi na kuzitatua na sio matamko. Hili Raisi mwinyi wa Znz ameliona na amefungua mfumo wa ki electroniki wa kupokea changamoto toka kwa wananchi moja kwa moja na sio mambo ya kuomba appointment. Tungefurahi hata wakuu wa mikoa watenge siku za kupokea malalamiko na shida za wananchi uso kwa uso hata siku moja kwa wiki.

Huyu mzee hakutendewa haki japo upeo wake na staha yake ni ya kihuni lakini ni mwananchi na anahitaji kutatuliwa changamoto yake sidhani kama angekuwa muhindi lukuvi angemjibu hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Sikuwahi jua huyu Waziri ana kiburi na dharau hivi. Khaaah.
Rais amtumbue huyu waziri hafai kabisa.
Afu anajibu kijeuri "nenda kamuone Rais" jamani hata mshipa wa aibu hana.

[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka huyo mama anamlazimisha mlinzi amtoe nje huyo m/kiti,
M/kiti nae anajibu "wee mama usiseme hivo je angekua Rais hapa unaweza sema hivyo?"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimependa Sana mzee huyu anajua anachokifanya alafu mzee shule ipo, Sasa mh ajipange anapokuja kwenye uhakiki na kuchukua maeneo ya watu, ardhi ni mali, ardhi ni uhai, ardhi ni maisha ya leo mpaka vijukuu,
Mjee kashindwa kuzuia na majibu ya waziri ya mwanzo ambayo sio fair, mh rais tumbua mh waziri,
 
Naye lakini ana kosa, kwa nini aanze kutambia uasisi wa babake? Kwani kama angeeleza kwa staha ingekuwaje?
Hata alipoacha kutambia na kueleza shida yake still waziri alionyesha utovu wa nidhamu kwa mtu amfanyae awe ofisini nyodo, dharau, majivuno, kiburi ni tabia za watu washamba waliolimbukia mali ukubwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…