Sijawahi ku claim hiyo moral high ground, wala mimi kuwa ni voice of reason. Nimewaita nyumbu wale ambao wana jaribu kuwa bully wale ambao hawakubaliani nao. Wale ambao hata G-55 wawaeleze vipi wanatia pamba kwenye masikio kwa sababu tu hawataki kutofautiana na the Great Leader".
Ungekuwa umewahi kuwasema viongozi wenu waliowaita wenzao wajinga, wasaliti (na hivi karibuni punda) ninge apologise. Lakini sita apologise kwa sababu si apologise kwa hypocrites ( you are welcome kuliita hili nalo kuwa tusi). Niliwapinga kabla ya uchaguzi na nitaendelea kuwapinga kila nikiona (kwa maoni yangu) kuwa mnapotoka. Na ninafanya hivi kwa sababu nilitegemea mtakuwa better kuliko the alternative. Unfortunately, kila siku zinavyoenda naona hamna tofauti nao. Inasikitisha sana.
Mimi sijawahi kuwa msemaji wa G-55 ila kama kuwatetea dhidi ya uonevu na upotoshaji unaofanywa dhidi ndio kunanifanya niwe msemaji wao basi iwe hivyo.
Amandla...
Samahani kwa kukuangusha. Mimi sio huyo unae nidhania.G55 wamelalamikia kutwezwa na kutukanwa.
Sasa ukiwakanya watu wasitumie matusi tayari ume claim a moral high ground. Umejiweka kama the adult in the room. Voice of reason. Si lazima utamke jamani eeh, mimi ni voice of reason!
If it walks like a nyumbu, sounds like a nyumbu, it is a nyumbu. Just a statement of fact.Cha ajabu unarudi wewe mwenyewe unaita watu nyumbu! G55 na watetezi wao mmeonekana hata nyinyi hamna siasa safi. Wala hoja. Mnatema matusi.
Hardliners ambao wanaangalia tu viongozi wao wanapo chukuliwa? Hardliners ambao wanangoja kibali ndio waende kusikiliza kesi ya kiongozi wao? Hao ndio revolushenaris?Back to brass tacks.
Wale waliokuwa Team Mbowe wanajitoa kwa gharika. Lissu na Heche sasa wanaongoza waliowataka. They hold a massive mandate kufanya wanachokitaka waliomchagua.
Hard line politics. Siasa ngumu.
Tume huru si tayari mmepewa? Si mmeambiwa Katiba mpya ni wazo zuri lakini huu si wakati wakati wake? Mpaka sasa hivi hizo nyomi zenu zime achieve nini? Angalau hayo maridhiano unayo yabeza yalifanikisha yafuatayo:Vikao vya Ikulu vya maridhiano ya uongo mwisho. Tumeamua kwenda nao nginja nginja.
Kambi uchwara za upinzani, statehouse appetizers, entrees and desserts, they can shove em down their throats. Tunataka:
1. Tume Huru
2. Katiba Mpya
3. Mapinduzi ya siasa za nchi.
Sawa.Tundu Lissu, in cages of Ukonga Prison, is t⁷he symbol.of the movement.
Heche na Mnyika ni disappointments.John Heche is leading the charge against apatheid-style military police and bloodthirsty state security organs in political battlegrounds across the length and breadth of the country.
John Mnyika is running the headquarters.
Ni haki yake unataka sisi tufanyeje sasa? Alijiunga kwa hiari yake CDM kuondoka ruksa, CDM will still stand.Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.
Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.
Kazi ipo
Ni CHAUMA au SAUBony Yai siku yake ni lini, au yeye hayumo?
Sijamsikia Sugu, kasafiri?
Wenje; ile inawezekana ilikuwa geresha tu!
Ni kama wamejipanga kwa zamu kiustadi sana.
Siku ya Mbowe itakapowadia; hapo kazi itakuwa imekwisha. Amani itatamalaki ndani ya CHADEMA, na chama kitaimarika vyema.
Huu mchezo ni kama ulipangiliwa kwa ustadi sana.
Kwanza ilipangwa kumwondoa Mwenyekiti uwanjani, ili kazi ya kuitikisa CHADEMA ianze.
Watu wa Mbowe, wakaanza mmoja baada ya mwingine, kidogo kidogo kila wiki kutangaza kuondoka ndani ya chama, sababu zikiwa ni zile zile walizofundishwa kuzisema.
Wakati huo huo, 'Mtungi' naye kaamuka na lake, kuunga mkono madai ya hao wanao ondoka CHADEMA; na kutangaza viongozi walio teuliwa na Mwenyekiti, ambaye hayupo kutetea lolote, kuwa hawatambuliwi.
Sasa kilicho baki ni kusubiriwa Mbowe, aonyeshe/azindue wanakoelekea hawa wote, sijui itakuwa CHAUMA, au vipi.
Lakini yote kwa yote, kuondoka ndani ya chama virusi hawa ni bahati kubwa sana waliyojaliwa CHADEMA. Hawa watu wangekomalia kubaki ndani ya chama wangeleta uharibifu mkubwa sana.
Huyo mama wa BAWACHA, toka mwanzo alijitangaza yeye ni mtu wa Mbowe; kwa hiyo sasa tunaelekea ukingoni, kumfikia mwamba mwenyewe afunge hii kazi.
Uongo unakusaidia nini? Ni wakina nani waliotuma ujumbe kwa wapiga kura kuwa Suzan Kiwanga amesema kura zake apewe mtu wa Lissu? Ilibidi Suzan aikane jukwaani. Kwa nini usiseme kabisa kuwa Aidan alihongwa ndio maana alimtangaza Sharifa kuwa mshindi? Hamkisaidii chama chenu kwa uongo huu.
Amandla...
Hivi wanaokimbia chadema wamesoma upepo wa kisiasa kuwa upande wao. Ajenda kuu ya sasa ni mabadiliko kabla ya uchaguzi. TEC, KKT A SHURA WA MAIMAM, ANGLIKANA wote na wananchi ndiyo ajenda kuu.G55 wanachengana na hoja kuu ya kukubali kushiriki uchaguzi katika mazingira haya.Kama Wachaga wamekimbia hako kachama ka TEC na Maria sembuse Wazanzibar wanaobaguliwa na kina LiHURA WA MAIMAMu mchana kweupee?
Katika hao uliowataja, nani amesema No Elections?Hivi wanaokimbia chadema wamesoma upepo wa kisiasa kuwa upande wao. Ajenda kuu ya sasa ni mabadiliko kabla ya uchaguzi. TEC, KKT A SHURA WA MAIMAM, ANGLIKANA wote na wananchi ndiyo ajenda kuu.G55 wanachengana na hoja kuu ya kukubali kushiriki uchaguzi katika mazingira haya.
Anasubiri nini mpaka sasa?Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.
Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.
Kazi ipo
Lakini huyu mbona alikili kabisa wakati wa uchaguzi kwamba yeye hatakuwa tayali kufanya kazi na mwenyekiti yeyote mbali ya Freeman Mbowe. Kwahiyo, mwacheni aende zake.Hilo sio siri. Alikuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar wakati wa Uenyekiti wa Halima. Ungesema tu ulichotaka kusema. Uzanzibari wake unahusika vipi kwenye hili?
Amandla...
Unamsingizia. Alisema kuwa yeye ni Team Mbowe baada ya kushinda uchaguzi wa Bawacha. Kumbuka kuwa Lissu alisema mtu anaeweza kufanya kazi nae ni Celestine Simba.Lakini huyu mbona alikili kabisa wakati wa uchaguzi kwamba yeye hatakuwa tayali kufanya kazi na mwenyekiti yeyote mbali ya Freeman Mbowe. Kwahiyo, mwacheni aende zake.
CHADEMA tuitakayo ni Ile isiyo na machawaHuyu aondoke mara Moja , kwanza hajulikan, Hana msaada wowote na Chama .
Pili hawez kufanya kazi na Uongozi mpya.
Aondoke, tuiingize MTU mpya.
Samahani kwa kukuangusha. Mimi sio huyo unae nidhania.
If it walks like a nyumbu, sounds like a nyumbu, it is a nyumbu. Just a statement of fact.
Hardliners ambao wanaangalia tu viongozi wao wanapo chukuliwa? Hardliners ambao wanangoja kibali ndio waende kusikiliza kesi ya kiongozi wao? Hao ndio revolushenaris?
Tume huru si tayari mmepewa? Si mmeambiwa Katiba mpya ni wazo zuri lakini huu si wakati wakati wake? Mpaka sasa hivi hizo nyomi zenu zime achieve nini? Angalau hayo maridhiano unayo yabeza yalifanikisha yafuatayo:
1. Viongozi wenu wameweza kurudi nchini.
2. Mikutano ya hadhara kuruhusiwa. Mikutano ambayo mnaitumia sawa sawa.
3. Wanachama na wafuasi wenu waliokuwa na kesi za ajabu ajabu kuachiwa.
4. Chama chenu kuanza kupokea ruzuku ambazo zinachangia ziara zenu za kunadi NRNE.
Sawa.
Heche na Mnyika ni disappointments.
Military Police wametumika wapi? Lakini ni haki yenu kusema lolote hata kama ni "alternative facts".
Mimi naona tuachie hapa maana unanichosha, my revolushenari friend.
Amandla...
Kwl hiki chama ni cha mazuzu, kila anayeondoka eti hana msaada, mlimchaguaje kuwa kiongozi? Ni wehu kwlHuyu aondoke mara Moja , kwanza hajulikan, Hana msaada wowote na Chama .
Pili hawez kufanya kazi na Uongozi mpya.
Aondoke, tuiingize MTU mpya.
Chadomo kwishet, hakuna mtu mwenye akili atakubali kuongozwa na mtu mpumbavu na kibaraka km Lissu. Lissu siyo kiongozi mtakuja kugundua mkiwa mmchelewaHabari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.
Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.
Kazi ipo
Sanctimonius maana yake nini?1. Siku nyingine acha kujifanya forum moralist wa kukemea matusi. We mwenyewe umetweza watu. Your sanctimonious posturing failed, ulishindwa kui sustain mwanzo mwisho.
Intellectual dishonesty ina maana gani?2. Tume mpya iliyoitwa Tume Huru ni geresha, na wewe unajua ni gheresha. Acha intelectual dishonesty. What do you take us for, fools? Or did this new name "Tume Huru" fool you ?
Wangapi walivunjwa miguu, kuvuliwa nguo na kuuawa? Ukilinganisha na idadi inayohudhuria mikutano yenu? Hata walioenda juzi baada ya kupata kibali haifanani kabisa na nyomi ya mikutano yenu. Na kesho polisi wakitoa tamko lingine la kibabe, karibu wote hawataenda.3. CHADEMA walienda Kisutu bila kibali na wakavunjwa miguu. Warioba kasema walivunjwa miguu. Kwa nini unaongopa kwamba walisubiri kibali ?
Military police ni wanajeshi na wanashughulika kudiscipline wanajeshi wenzao, sio raia . Polisi anaebeba silaha za kivita sio military police. Hao wanaitwa "militarised police". Kuna tofauti.4. Polisi wanaotumika kwenye mapqmbano barabarani au wanaoandaliwa kupambana na fujo dhidi ya raia, raia korofi au raia wema, ni MPs, Military Police. Na wapo mitaani wanapambana na wapinzani mwangani na gizani.
Unapenda sana maneno magumu. Sasa umechomeka mpaka kifaransa. Raison d'etre maana yake nini? Unapaswa kujua kuwa ruzuku haihusiani na idadi ya viti maalum. Mimi binafsi nawapongeza kwa uamuzi wao wa kijasiri wa kuamua kuishi bila ruzuku. Hata CDM ya Mbowe ilisusia ruzuku kwa muda mrefu. Btw, nilitegemea kuwa mtakuwa transparent kwenye mambo ya pesa, tofauti na predecessor wenu. Lakini sishangai maana hata taarifa ya michango ya SUV ya Mheshimiwa Mwenyekiti mmeacha kutoa. Ningekuwa mtu wa kutukana tukana, ningewaita hypocrites.5. CHADEMA wameamua kuishi bila ruzuku. Ruzuku bila⁷ progress kuelekea kushika dola. wameona haina maana. Kuwa chama upinzani cha kudumu IS NOT their raison detre. Sababu ya uwepo wao sio maruzuku ya wabunge wa wanawake na mmoja wa jimbo.
Msauzi ndio nini? Ni tusi au sifa? Hivi nilikuambia kuwa unanichosha? Nilisahau.6. Tuishie hapo, na we pia usinichoshe we Msauzi.