Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ni kumchana live tu.

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.

 

Lisemwalo lipo, Uzi huo wa last month Mwigulu anakanusha kumiliki mabasi ya Kampuni ya Esther kupitia jina la mke wake. Eti mabasi ni mali ya make wake.
 
Huyu mzee kaniangusha Sana. Chadema huwa hawatoi kibwege namna hii. Tuhuma "mvuke" zisizoambatana na ushahidi ni mipasho tu.

Akamatwe mara moja huyu mzee akathibitishe mahamani na chama kisimtetee.

Na kwanza nashangaa aliruhusiwa vipi kutumia madhabahu ya chama kuongea utopolo huo??
 
Hahaha naona Mama anatoka kivingine. Ila aina ya hizi siasa siyo nzuri. Mama kama anasoma huu uzi, damage ambayo akina Mwigulu waliyomfanyia it’s beyond repair, anahitaji timu mpya kujijenga kama ana nia, otherwise huku mitaani mama anachukiwa sana
 
Kwanini asiitwe aelezee hoja zake mahakani? Labda anaushahidi
Mahakamani pagumu. Anaweza kuitwa huko akaishia kumlamba miguu Mwigulu.

Msigwa naye aliwadanganya makamanda kuwa anamchana Kinana, alipoitwa mahakamani kuthibitisha tuhuma zake suruali ikalowa.
 
Lisemwalo lipo, Uzi huo wa last month Mwigulu anakanusha kumiliki mabasi ya Kampuni ya Esther kupitia jina la mke wake. Eti mabasi ni mali ya make wake.
Mwigulu ana hisa % ngapi kwenye hiyo kampuni?
 
Back
Top Bottom