Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

Wewe Gagnija ni Mwigulu mwenyewe nini? Maana si kwa uchungu huo
Hapana, mimi sina uchungu wowote wala sisemi kuwa Mwigulu sio mwizi.

Nachojaribu kuangalia ni kama huyo mtoa tuhuma anaweza kuthibitisha wizi wa Mwigulu akitakiwa kufanya hivyo.

Mwenyewe umeandika kuwa kampuni ya mabasi ni ya Esther, ndo maana nikauliza Mwigulu ana hisa % ngapi kwenye hiyo kampuni?

Kama hana hisa inakuwa ngumu sana kisheria kumhusisha na hiyo kampuni hata kama ni ya mkewe.
 
Esther ni jina la mkewe, je mke wake atakuwa kapata wapi pesa?
 
Ni kumchana live tu.

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.

View attachment 2374399
TUKUMBUKE uhuru wa kuongea sio kutoka matusi Kwa mtu mwingine. Hivi akiitwa aeleze alichokisema, anaweza thibitisha??
 
Esther ni jina la mkewe, je mke wake atakuwa kapata wapi pesa?
Njia za kupata pesa/mtaji kwake mbona zipo nyingi sana.

Mwigulu ni jina kubwa kwenye siasa za nchi kwa miaka kadhaa sasa.

Unafikiri mkewe akienda kukopa kwenye benki yoyote hapa nchini atanyimwa mkopo?
 
Ni kumchana live tu.

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.

View attachment 2374399
Sio habari mpya hiyo, wenye akili wote tunalijua hilo kasoro yale machawa tu ndiyo yananifanya hayajui n hayaoni
 
Ni kumchana live tu.

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.

View attachment 2374399

Kwa wananzengo wengine, wanasema hapo ndiyo demokrasia imekomaa na kuiva.
Kumbe ni defamation.
 
Back
Top Bottom