Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
CcM inatupeleka pabayaNchi ngumu sana hii
Hao wazee wa kichaga wamechanganyikiwa na lichama lao la kikabila.
Hahaha naona Mama anatoka kivingine. Ila aina ya hizi siasa siyo nzuri. Mama kama anasoma huu uzi, damage ambayo akina Mwigulu waliyomfanyia it’s beyond repair, anahitaji timu mpya kujijenga kama ana nia, otherwise huku mitaani mama anachukiwa sanaNi kumchana live tu.
View attachment 2374399
Mahakamani pagumu. Anaweza kuitwa huko akaishia kumlamba miguu Mwigulu.Kwanini asiitwe aelezee hoja zake mahakani? Labda anaushahidi
Mwigulu ana hisa % ngapi kwenye hiyo kampuni?Lisemwalo lipo, Uzi huo wa last month Mwigulu anakanusha kumiliki mabasi ya Kampuni ya Esther kupitia jina la mke wake. Eti mabasi ni mali ya make wake.
Wewe Gagnija ni Mwigulu mwenyewe nini? Maana si kwa uchungu huoMahakamani pagumu. Anaweza kuitwa huko akaishia kumlamba miguu Mwigulu.
Msigwa naye aliwadanganya makamanda kuwa anamchana Kinana, alipoitwa mahakamani kuthibitisha tuhuma zake suruali ikalowa.