Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 30, 2025 #61 Aisee!
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 30, 2025 #62 Sema mbona anavaa tai za bendera itakuwa anasngiziwa na mabeberu.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 30, 2025 #63 Yule mzalendo angalia tai zake
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Jan 30, 2025 #64 Stuxnet said: Esther ni jina la mkewe, je mke wake atakuwa kapata wapi pesa? Click to expand... Jamaa anatuona sisi mabwege😄, mke hajawahi kumiliki hata boda boda ghafla anamiliki mabasi hela katoa wapi?
Stuxnet said: Esther ni jina la mkewe, je mke wake atakuwa kapata wapi pesa? Click to expand... Jamaa anatuona sisi mabwege😄, mke hajawahi kumiliki hata boda boda ghafla anamiliki mabasi hela katoa wapi?