MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Ingia Youtube search Haroubtv utaona video fullNyuzi vila picha hazinogi inabidi tupate picha ya mrubuniwa?mrubuni,mpeleka mashtaka kwa RC na RPC,na wapelekewa mashtaka.Halafu kitu kingine kinachonishangaza unampelekea malalamiko chalamila ambaye pia nae usikute nae anataka kumrubuni huyohuyo mtoto
Ni kweli matumizo mabaya ya AkiliHuyo Baba ni kilaza,badala ya kwenda mahakamani anaenda kwa RC kufanya nini?Huyo mzee ni hasara kwa Taifa kama Magufuli!
Hili asiwaze sana maana siku hizi hakuna kulindana na huyo rc ajiandae kabisa kuucheza mchezo wa mama SamiaSakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini.
Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya.
Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake.
Chanzo: HAROUBTV.
Unajuwaje kama huyo mwenyekiti ni mshikaji wa Charamila maana wote ni wenyekiti wa ccm?Nna imani issue hiyo haikufika kwa Chalamila
Lazima huyo mzee kapigwa danadana kuonana na Rc, Chalamila akiipata hiyo huyo
Mwenyekiti ataisoma # kama kweli hizo tuhuma ni kweli
Ova
Ili mradi ishafika hapa jf hesabu kuwa hiyo kesi ndiyo inaanza upya maana itawafikia wahusika wa kutenda haki.Kama RC ni chalamila, kesi imeisha hiyo
C C MCCM Chanzo Cha Matatizo