Tunaendelea kumywa mtori tukifiatilia hili kwa karibu. Bado ni mbinu ya kuichanganya CCM??
====
Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Masaga Kaloli, amesema anaamini bado Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe ana nguvu za kukitumikia chama hicho.
Akizungumza na waandishi wa habari Ijumaa Desemba 13, 2024, Masaga amesema Mbowe amepambana kukifikisha Chama hicho mahali kilipofika na kueleza kuwa yuko tayari kuongoza mchango wa kumchukulia Mbowe fomu ya kugombea na kwenda kumshawishi agombee uenyekiti.
βMimi kama mwenyekiti wa mkoa wa Mbeya nilitamani ningepata hata muda nikamwombe Freeman Mbowe, naye pia aingie kwenye kinyang'anyiro cha kugombea, ninatamani mwenyekiti aliyepo aendelee kuwa mwenyekiti kwasababC bado ana nguvu za kukitumikia hiki Chama na chama chetu cha upinzani kinahitaji watu, sasa leo hii akaastafu akawe kama mzee Mtei ni jambo la utani, Mbowe ndiyo kwanza bado kabisa, huwezi ukamwita Freeman Mbowe mzee", ameeleza Masaga.
Hata hivyo kiongozi huyo amesema anaona nafasi ya Tundu Lissu kuongoza chama hicho kwa siku za usoni lakini siyo kwa sasa akidai Mbowe bado anahitajika na wanachama walio wengi ili kukijenga zaidi chama hicho.

Hii ndiyo aina ya demokrasia inayotakiwa ndani ya chama kikubwa na chenye hadhi. Pale vongozi wa juu wa chama wanapotia nia katika kinyang'anyiro cha nafasi moja ya juu kabisa ya uongozi wa chama.
Ni jambo muhimu sana kwa M/Kiti Taifa anaye maliza muda kushindana na kada mwingine mwenye uwezo ili kuweza kupima umahiri wake. Makundi mbalimbali ni lazima yajitokeze ili kuunga ama kutounga mkono upande fulani.. Hii ni fursa nzuri katika kulinganisha fikra pevu, maono, na hata hatma ya siku zijazo za kutafuta ustawi wa chama kuendana na matakwa ya wakati.
Ila ikifika mwisho wa mchakato huu wa kidemokrasia, kila kitu kitakuwa bayana, tutapata jibu mshindi ni nani. Kila heri Mh. Mbowe, kila la heri Mh. Lissu. Atakayeshindwa ni lazima akubaluane na matokeo. Visijitokeze visingizio kuhusu kushindwa kwa mtu

Sawa. LAKINI acha Mbowe apumzike, ili thamani yake (kwa kadiri ilivyo) idhihirike.
Sasa hivi ametuhumiwa kwa mengi sana yanayoshusha thamani yake kama kiongozi mkuu wa CHADEMA. Kazi kubwa aliyofanya imeanza kusahaulika. Akiendelea kuwa madarakani, atapoteza legacy yake yote. Na hata kuchukiwa! Nyerere alijikuta kwenye mazingira aina hiyo ikabidi ang'atuke bila kutaka.