Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Machawa ya Chadomo yatauana mwaka huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DDhlDxnCS96/?igsh=enY0Ym1neDJjeXNs
 
Msamehe,, hajui Dunia inazunguka Leo kwangu kesho kwako.
 
Baadaye tutakuja kusikia tutamlazimisha mama agombee awamu ya tatu.
Halafu utasikia wale wale waliokuwa wanasema watamlazimisha fulani wanalalamika...
Siasa za nchi hii zinachekesha kweli.
Mfano kuna wanaomlalamikia lissu kwa kusema ubovu wa yanayoendelea, halafu ndio hao hao wanaowaponda chawa wa ccm wanaofagilia na kusifia kila kitu kinachofanywa na serikali ya ccm. Sasa hao si wanafanya kile ambacho wanaomlalamikia lissu wangependa afanye.
 
Mh. Mbowe ni jabari la siasa za nchi yetu - bado ana nguvu; Lissu asubiri muda wake ukifika atapewa chama.
 
Ngoma inogile ndani ya Chadema,

kasongo yeye mobali na ngai...

Chadema kuna uhuru wa kujieleza sana, halafu cha kushangaza kuna watu wanaumia moyo kichizi mtu kama huyo alivyotoa mapendekezo yake 🀣

eti wanamuita CCM 🀣
 
CCM Chadema ACT wote lao moja, kujinufaisha wao kama wao. Wala tusitegemee mwanasiasa yoyote wa kuleta mabadiliko. Unless atokee jenerali wa jw mmoja kichaa afanye mapinduzi jeshi libebe nchi.
 
Assad alishinda kwa zaidi ya asilimia 93%

Mbowe anashindana na Assad kukaa muda mrefu madarakani
 
Wakati wa uchaguzi ngazi za chini, Mbowe aliweka base ya wapiga kura katila uchaguzi mkuu wa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…