Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee Mbowe anayo miaka zaidi ya sitini ,wapuuzi wana
Mzee Mbowe anayo miaka zaidi ya sitini ,hapa mjinga mmoja anataka kutuaminisha kuwa huyu mzee ni KIJANAπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Mtoto wa ndesamburu na wifi yake ni wabungr wa kudumu wa Mzee Mbowe
 
Hawa Bawacha na huyo mwenyekiti wa chadema mkoa wote wanazingua. Taasisi haipaswi kuweka Msimamo wa kumuunga mkono mgombea fulani. Ikitokea Mnyika, Lema na Sugu nao wakivuta fomu je, itakuwaje? Watamuunga mkono nani na wamuavhe nani?
Chadema sio taasisi bali Lissu ndio anaenda kuifanya kuwa taasisi kwa maana mzee Mbowe kafanya cdm kama kampuni yake binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…