Tanganyika mumeshindwa nini kurekebisha katiba mkawa na serikali ya kitaifa kw mshindi 2., Ndio mana tunasems mumepwaya hamujalifikia hilo, Zanzibar wameweza kushawishi angalau kufikia hayo mafanikio ya serikali ya kitaifa.. ndio mana pia tunasems Chadema hawakuwa na plan BRejelea marekebisho ya katiba ya Zanzibar yaliyofanyika hapo 2010 katika kugawana madaraka raia walikubali anaefuatia kwa kura nyingi atakua makamu wa rais vyama vya siasa vinalijua hilo.
"hotuba inarushwa kupitia mitandao ya kijamii" hapa ndipo chadema mnapo dhihirisha kua hampo serious kwenye mambo ya msingi, mnashinwa nn kufanya coverage japo kwenye radio station moja?!!Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni....
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!
Kama wewe ni muumini wa dini taja redio moja ambayo unadhani itarusha maudhui ya chadema bila kuingiliwa na polisi au usalama wa taifa."hotuba inarushwa kupitia mitandao ya kijamii" hapa ndipo chadema mnapo dhihirisha kua hampo serious kwenye mambo ya msingi, mnashinwa nn kufanya coverage japo kwenye radio station moja?!!
Hivi we ni member Cdm?
Jisemee mkuu, kama wewe kwako Hali si njema, kuna watu huko wanapiga pesa,wanatengeneza pesa kuliko Wakati wowote ule, halafu wewe unakuja na ngonjera za kushindwa kwako ulazimishe na wengine wawe kama wewe?
Jizi la kura limezimwa na PK hela lililoenda kuficha huko na urafiki umekufa .a.k.a jiwe,mhutu,shetani,msema kweli mpenzi wa mungu,laghai, mla rambi rambi! Jitu katili na roho mbaya!
Zaidi ya member ndio nini? Wewe tumia akili.Ni zaidi ya member, una swali jingine?
Niondoe mimi huwa sisikilizi wagonjwaYupo mmoja tu anayeweza zungumza na Watanzania wote moja kwa moja na anaenda kwa jina la Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Ulitaka abakie hapa mumpige bomu maana kwa risasi mlishindwaUnataka wasalitiwe kwa kiwango gani, Tundu Lissu aliwaaminisha watu uchaguzi wa 2020 unafuatiliwa duniani kote laki akatahadharisha mara kadhaa kama haki haikutendeka kwenye matokeo ya uchaguzi aliapa wananchi kuidai, sasa ajabu kumbe ana ticket ya kurud belgium bada magu kutangazwa hakutekeleza ahadi alizotoa aliwasaliti wanachadems na kutimkia zake belgiaum
Nyie Kenge mnaJISAHAU SANA,Utafikiwa ulipo usiseme hatujakwambia bwege weweJizi la kura limezimwa na PK hela lililoenda kuficha huko na urafiki umekufa .
Wewe ni mzalendo au muoga.Hoja zenyewe za kinafiki.Yupo mmoja tu anayeweza zungumza na Watanzania wote moja kwa moja na anaenda kwa jina la Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Usimtishe mwenzio, siku ya kufa ni moja tu.Hivyo mtu hapaswi kuogopa kila siku.Nyie Kenge mnaJISAHAU SANA,Utafikiwa ulipo usiseme hatujakwambia bwege wewe
Nani anamtisha mtu?muwe mnaangalia mnachoandika hapa otherwise mtaletea matatizo hata Max Mello mmiliki wa JF.Usimtishe mwenzio,siku ya kufa ni moja tu.Hivyo mtu hapaswi kuogopa kila siku.
Radio Station u r not serious"hotuba inarushwa kupitia mitandao ya kijamii" hapa ndipo chadema mnapo dhihirisha kua hampo serious kwenye mambo ya msingi, mnashinwa nn kufanya coverage japo kwenye radio station moja?!!
Mmepiga kura kule African Award?Aseme ili kampeni ya maandamano yasio na kikomo inaendeleaje?