rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kama wameenda kinyume na chama wafukuzwe wameweka.mbele matumbo yao kuliko maslahi ya chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa Zito chadema ilikuwa na wabunge wangapi na leo ina wabunge wangapi?Mnahangaika sana, Chadema ni taasisi imara. Alikuwepo Zitto, alipotoka mlifikiri Chadema itakufa. Alikuwepo Dr Slaa, apoondoka mlifikiri Chadema itakufa.
Lakini Kwa upande mwingine ni baraka! Kule bungeni ni kati ya viwanja vinavyoitaji watu wetu!Kuwa na mwanamke mpinzani wa aina ya Halima Mdee, Ester Bulaya na Ester Matiko ni fahara kubwa sana kwa chama na nguvu ya harakati.
1. Ni wahamasishaji wazuri.
2. Waliwapa wanawake ujasiri na sababu ya kujivunia.
3. Walitoa picha ya harakati shirikishi.
Kilichowakuta ni nini? Mimi sifahamu.
Kwa Dr.Slaa ilikua rahisi sana kutabiri, alikua na kila sifa ya Yuda Isikarioti, hata sura!
Ila Halima?
Ester Bulaya?
Nataka niamini kuna INTIMIDATION kubwa sana nyuma ya hili zoezi!
Nataka niamini it was against their will.
Ila hizi ni imani tu.
Muda ndio mwalimu mwema!
Since day one, those guys engender so much fear of Covid-19. Sasa ulivyoiweka kwenye title ndiyo kabisa umechochea fire & fury.Kuwa na mwanamke mpinzani wa aina ya Halima Mdee, Ester Bulaya na Ester Matiko ni fahara kubwa sana kwa chama na nguvu ya harakati.
1. Ni wahamasishaji wazuri.
2. Waliwapa wanawake ujasiri na sababu ya kujivunia.
3. Walitoa picha ya harakati shirikishi.
Kilichowakuta ni nini? Mimi sifahamu.
Kwa Dr.Slaa ilikua rahisi sana kutabiri, alikua na kila sifa ya Yuda Isikarioti, hata sura!
Ila Halima?
Ester Bulaya?
Nataka niamini kuna INTIMIDATION kubwa sana nyuma ya hili zoezi!
Nataka niamini it was against their will.
Ila hizi ni imani tu.
Muda ndio mwalimu mwema!
Kabisa mkuu,yaani hii mijusi kichwani muda wote ni propaganda!Afadhali basi zingekuwa na mantiki!idadi ya vyuo vikuu imezidi kuwa nyingi sana hapa Tz ila cha kushangaza idadi ya wajinga ndiyo inazidi kuongezeka maradufu.
Baada ya Mheshimiwa Halima Mdee kula kiapo cha Ubunge kupitia viti maalum,alitoa shukrani kwa chama chake na Kwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.Sasa katibu mkuu wa chama mheshimiwa Mnyika alitakiwa ajue kusoma katikati ya mistari (read between lines) kwamba Mbowe hakutajawa na Mheshimwa Halima Mdee kwa bahati mbaya.Na Halima Mdee alionekana anaongea kwa unyenyekevu mkubwa jambo ambalo sio kawaida yake.
Sasa mimi naona mheshimiwa Mnyika ninaamini yupo vizuri na anayaona mambo kwenye 'three dimension' na ameshaamua liwalo na liwe.
Kamati kuu ndio Mbowe mwenyewe bwashee!Anaeteua na kupitisha majina ya viti maalum ni Mbowe au ni kikao cha kamati kuu ya chama?
Sheria ipi/katiba ipi ya chama inayosema kuwa Mbowe ndiye kamati kuu?Kamati kuu ndio Mbowe mwenyewe bwashee!
Dah....wakati wewe unawaza misimamo thabit....Dijei anawaza ELA [emoji2960][emoji23][emoji23]Hiki ndo ambacho nilikua nakiwaza, nadhani tumemfahamu Tundu Lissu kwa muda mrefu, ni wakati wa kuanzisha chama chake sasa, hakika watu wenye misimamo kama yake tupo na labda itakua ndio njia mpya kuelekea serikali mpya. Ila kwa Chadema i think tumeona sura harisi ya walio wengi kule katika uongozi, tamaa na kutokujiamini na kutochange mbinu vinawamaliza very slowly, God forbid !!!!
Mbowe ana biashara zake za kusimamia, J J Mnyika anatosha!
2010 Chadema wakiwa na Slaa waliyakataa matokeo ila Mbowe,Lema,Mnyika,Sugu wakaenda bungeni.2015 wakiwa na Lowasa hawajakubali pia matokeo lakini kwa bashasaha na kina Heche ndani walitinga bungeni.2020 hawajakubali matokeo tena ila cha ajabu wanawazuia Bawacha wasiende bungeni!!Kuweka misimamo wazi siyo kuropoka.
Kwamba kuna mbunge bungeni na haafikiani na msingi mkuu wa chama kuhusiana na haramu ya uchaguzi wa 2020, kumlea huyo ni kulea kansa.
"If you disobey you go."
Hiyo si kuropoka. Huo ni msimamo thabiti!
2010 Chadema wakiwa na Slaa waliyakataa matokeo ila Mbowe,Lema,Mnyika,Sugu wakaenda bungeni.2015 wakiwa na Lowasa hawajakubali pia matokeo lakini kwa bashasaha na kina Heche ndani walitinga bungeni.2020 hawajakubali matokeo tena ila cha ajabu wanawazuia Bawacha wasiende bungeni!!