Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

Swali zuri sana mkuu.

Kwa kifupi aliyemweka ndani ndio huyo huyo aliyemtoa na ndiye huyo huyo aliyefanya nae maridhiano ya kufanyika mikutano.
Na walichojadiliana hadi kupatikana kurudi kwa mikutano imebaki siri yao, je tuendelee kumuamini Mwenyekiti wetu?

Na nahisi kapangiwa cha kuongea pia.
Hawa watu wanatuchukuliaje lakini? Kwamba hatuna akili?

Ndo hayo ya kutumwa nenda unioshe huko unisuguwe na still wire nitakate, wale watu bado wana machungu, nenda unioshe nitakate njia iwe nyeupe huko mbele.
 
Back
Top Bottom