Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

Unaposema ametumia muda wake mwingi kuwakaripia viongozi wenzake wa Chadema, nakushangaa, kama wewe ukiona mtu anakusema kwa kitu ambacho hujafanya, mtu anaendeshwa na hisia zake binafsi kukuhukumu, na kukuchafua kwa wanachama wako, utakaa kimya? ajabu akijitetea ndio mnazidi kumuona mlamba asali, nyie mnataka akae kimya tu!.

Kwangu, alichofanya Mbowe ni sahihi kabisa, Lema na wenzake walitakiwa waje na uthibitisho wa vile Mbowe alilambishwa asali, lakini sio mtu upo Canada, kisa unaona mambo hayaendi vile ulivyozoea, ndio uanze kutengeneza hisia zako na kutoa shutuma kwa kiongozi wako, alikosea.

Mimi na wewe hatuwezi kujua secret behind ya kuruhusiwa hii mikutano ya siasa, lakini inawezekana kabisa, hekima na ukimya wa Mbowe, ndivyo vilichangia kumfanya Samia akubaliane nae, lakini kama mihemko ya kina Lema mnayoipenda ndio ingekuwa kwenye meza ya mazungumzo, basi pia inawezekana kabisa, mpaka leo mambo yangekuwa hayaeleweki...

Mbowe amejua kucheza na akili ya Samia na kushinda mchezo, tuliona vile ukimuendea Samia kwa mihemko nini atakufanya, - ukinipara nakuparua -, mwishowe Mbowe akaenda jela kwa kesi ya kutengenezewa, na hakuna mwanachama wala mpenzi yeyote wa Chadema, aliyefanya chochote ili kumtoa Mbowe gerezani, wakati mwingine acheni akili zifanye kazi, sio maguvu kila wakati!.
Umetoa madini mazuri Sana, ingetakiwa viongozi wa chadema na wanachama wake waje wachukue haya madini yako wakajisomeage kabla ya kulala kuamka na kwenda mitaani
 
Kwa jinsi ulivyosimulia historia ni dhahiri kuwa hakuwa mtu wa principles bali aliangalia zaidi atafaidika vipi. Hakuhamia CDM kwa sababu alizipenda sera zao au msimamo wao bali ilikuwa ni hasira ya kunyimwa ugali CCM. Ndio maana siku zote anasema hajawahi kurudisha kadi yake ya CCM. Na aliondoka Chadema kwa sababu tu aliona amenyimwa ugali ambao ni stahili yake. Angekuwa ana integrity asingerudi CCM hata alipoahidiwa ugali wa ubalozi. Na alipokuwa kule alitumika bila kinyongo kuwa vuvuzela wa CCM.

Mbowe alikuwa sahihi kumtema kama alivyowatema Sumaye, Mashinji na wakina Halima.

Amandla...
Integrity ya Mbowe ndo kumsimamisha mgombea mwenye tuhuma za ufisadi ambazo yeye mwenyewe Mbowe na chama chake ndo ilikuwa agenda? Uamuzi wa Dr Slaa kwa mwaka 1995 ulikuwa ni uamuzi sahihi ulioleta maendeleo mengi sana Karatu chini ya uongozi wa CHADEMA. Kama kuhama chama ni kukosa uadilifu basi hata Godbless Lema sio mwadilifu kwasababu alikuwa TLP. Mwaka 2010 kwenye ofisi za manispaa Arusha wananchi walitanda kila kona kushinikiza Lema atangazwe mshindi wa ubunge dhidi ya Batilda Buriani kwasababu wananchi walihisi Lema anaweza kuuza ubunge wake kutokana na kuwepo tuhuma ya Lema kuuza ushindi wake mwaka 2005. Hiyo 2010, wananchi walikuwa wakimtuhumu Lowasa kumshawishi Lema kuachia ubunge. Kimsingi CHADEMA mlijikoroga sana kwenye ishu ya EL.
 
Mbona haueleweki? Wananchi walishinikiza Lema atangazwe mshindi kwa sababu walijua atauza ubunge wake? Na nini kilimzuia kujiuzuru baada ya kuchaguliwa na kumpisha Batilda au mgombea mwingine kutoka CCM? Au yeye mwenyewe kuhamia CCM?
Kuhama chama sio dhambi. Hata Lissu alikuwa NCCR Mageuzi kabla ya kuhamia Chadema. Kukosa integrity ni kuhama hama kila unapokosa nafasi unayoitaka. Na mbaya zaidi kuhamia kwa wale waliokuwa maadui zako na kubeba sera zao. Mimi pamoja na matatizo ya Zitto namheshimu kwa kubakia upinzani alipotoka Chadema. Slaa hana tofauti na wakina Mollel na Silinde. Hana integrity yeyote.

Wewe ndo huelewi. Kwenye siasa hakuna urafiki wala uadui wa kudumu. Kama CHADEMA mliweza kumsimamisha mtu mliyemuimba fisadi kwa miaka kadhaa itashindikanaje Slaa kurudi CCM?
 
Wewe ndo huelewi. Kwenye siasa hakuna urafiki wala uadui wa kudumu. Kama CHADEMA mliweza kumsimamisha mtu mliyemuimba fisadi kwa miaka kadhaa itashindikanaje Slaa kurudi CCM?
Tunamzungumzia Lema, Slaa ametokea wapi? Chadema walimtumia Lowassa wakati Slaa amekubali kutumika na CCM. Ndio maana ninakupinga unapomnyanyua Slaa kana vile angeweza kuipeleka Chadema katika nchi ya asili. Huyu asingekomba wabunge wengi na baada ya uchaguzi tu angepewa nafasi serikalini na angeitosa Chadema. Kama alivyofanya mgombea wa ACT-WAZALENDO.

Amandla...
 
Mimi sidhani kuwa Mbowe alikuwa amelewa. Aidha, sidhani kama amelamba asali. Ninachoamini ni kuwa pamoja na nia yake nzuri hotuba yake ya leo haikuwa sahihi na badala ya kumjenga imewafanya watu waanze kutilia wasiwasi wake juu ya uwezo wake wa kuongoza chama chake. Nahisi kwa kuangalia taifa zaidi ameki take for granted chama chake. Leo amerudia mara nyingi kwamba yeye anaangalia maslahi ya taifa lake na sio chama chake kana kwamba hivyo vitu viwili haviwezi kwenda pamoja.

Amandla...
 
Makosa yalishafanyika 2015 baada ya mwenye chama Mbowe kujiamulia peke yake. Kazi iliyofanyika tangu 2005 ilisambaratishwa 2015 kwa kumsumamisha mgombea ambaye CHADEMA wenyewe walimwita fisadi kwa miaka kadhaa. CHADEMA wangebaki na watu wenye misimamo kama Dr Slaa wangekuwa bora zaidi ya leo. SHORTCUT IS A WRONG CUT
Nakubaliana na unachosema mkuu.
 
Tunamzungumzia Lema, Slaa ametokea wapi? Chadema walimtumia Lowassa wakati Slaa amekubali kutumika na CCM. Ndio maana ninakupinga unapomnyanyua Slaa kana vile angeweza kuipeleka Chadema katika nchi ya asili. Huyu asingekomba wabunge wengi na baada ya uchaguzi tu angepewa nafasi serikalini na angeitosa Chadema. Kama alivyofanya mgombea wa ACT-WAZALENDO.

Amandla...
Mambo aliyoyafanya Slaa akiwa CHADEMA hata wangejiunga kina Lema 200 hawawezi kufikisha. Slaa akiwa bungeni alikuwa kinara wa kuibua hoja zinazotetemesha nchi. Kumbuka sakata la EPA. Hata Zitto nae alikuwa moto sana na ishu ya Buzwagi hadi sheria inayohusiana na mirabaha ikafanyiwa marekebisho. Huyo Lema kashaibua jambo gani bungeni la maana? CHADEMA kwa sasa imebakiwa na watu wengi wenye uwezo mdogo kisiasa. Kwahiyo ndugu yangu kabla hujamsema vibaya Slaa jikumbushe kazi aliyofanya akiwa CHADEMA
 
Alikuwa haibui mwenyewe. Alikuwa anapewa kwenye sahani na whistleblowers. Na nyingi zilitokea Jambo Forum. Hivi wewe unadhani kazi ya mbunge ni kusimama Mwembe Yanga na kutoa hotuba peke yake? Slaa kama Katibu Mkuu alikuwa msemaji wa chama ndio maana alionekana sana. Kwa mtu mwenye uwezo mnaodai anashindwa nini kung'aa CCM? Wanaostahili pongezi ni wanachama na wapenzi wa Chadema kuliko wakina Slaa. Wao ndio waliowajenga watu kama Slaa n.k. Mimi simsemi vibaya Slaa isipokuwa nasema ukweli ninao uona pamoja na juhudi zenu watu wa CCM za kutaka kumnyanyua ili muweze kumtupia lawama Mbowe.

Amandla...
 
Mwamba yupo high 🙂
mwenyekiti wa Taifa wa chadema ni ,high profile figure katika Taifa hili,Kitengo cha organization ya mikutano ya chadema i hakikishe mwenyekiti is kept on the right track by any means. Naamini mwenye akili kubwa ameelewa what i mean .........
 
Alikuwa haibui mwenyewe. Alikuwa anapewa kwenye sahani na whistleblowers. Na nyingi zilitokea Jambo Forum. Hivi wewe unadhani kazi ya mbunge ni kusimama Mwembe Yanga na kutoa hotuba peke yake? Slaa kama Katibu Mkuu alikuwa msemaji wa chama ndio maana alionekana sana. Kwa mtu mwenye uwezo mnaodai anashindwa nini kung'aa CCM? Wanaostahili pongezi ni wanachama na wapenzi wa Chadema kuliko wakina Slaa. Wao ndio waliowajenga watu kama Slaa n.k. Mimi simsemi vibaya Slaa isipokuwa nasema ukweli ninao uona pamoja na juhudi zenu watu wa CCM za kutaka kumnyanyua ili muweze kumtupia lawama Mbowe.

Amandla...
Hao whistleblowers walishindwa kumpa hizo data Godbless Lema? Zitto Kabwe nae alikuwa msemaji wa CHADEMA?.... unapotaka Slaa ang'ae kwa nyakati hizi unatakiwa ujue kuna suala la umri... age mates wa Slaa wengi wao hawako kwenye hii mikiki mikiki ya siasa. Ni wastaafu. Wanachama bila viongozi makini ni sawa na kutwanga maji. Mbowe pamoja na mapungufu yake ni kiongozi makini sana kuwahi kutokea upande wa upinzani. Kwahiyo kusema tunaacha kumpongeza Slaa ni hoja dhaifu sana. Slaa aliibeba Operesheni Sangara mabegani mwake ila kwa sasa mnamwona hana maadili. TUBUNI
 
Swali rahisi ni kuwa kama Slaa ni huyo superhero unaemsema kwa nini hamumtumii huko aliko isipokuwa kumleta siku moja kusifia juhudi? Nimeishakwambia kazi ya mbunge au kiongozi wa chama cha upinzani sio tu kusoma ripoti anazoletewa na wenzake. Sasa unataka kusingizia uzee ndio unamfanya Slaa awe kimya. Mbona wenzake wakina Jenerali Ulimwengu pamoja na kutokuwa upinzani rasmi hawasiti kuikosoa serikali na CCM pale inapobidi?

Chadema kimejijenga zaidi kama chama cha upinzani makini na kisicho na uoga baada ya Slaa kuhamia upande wa pili. Viongozi waliopitishwa kwenye tanuri la moto ni hao unaowabeza ambao pamoja na kufungwa, kunyimwa haki zao za kibunge na hatimae kufanyiwe figisu ambazo Slaa hakuwahi kufanyiwa bado wanasimamia wanachokiamini. Pamoja na kutangaza kifo cha chama chao wao bado wamo wanapambana.

Kuna wakati kweli Slaa alionekana ni mmojawapo wa vinara wa upinzani. Lakini kama ilivyokuwa kwa Lyatonga, Halima na wengine matendo yao yametia dosari legacy yao.

Mbowe bado hajafikia huko. Bado naamini ana integrity. Tatizo lake naona ni kuwa ameanza kuamini kuwa yeye ni zaidi ya chama chake na hamna mwenye haki ya kumkosoa. Ndio maana criticism yangu kubwa kwake ni kitendo chake cha kuwatupa chini ya basi viongozi wenzake ambao wanatofautiana nae. Hapakuwa na haja ya kufanya hivyo katika mkutano wa kwanza wa hadhara baada ya muda mrefu wa chama chake. Hakuwatendea haki wenzake.

Mwisho nashindwa kuamini kuwa mtu wa CCM atamkuza mtu ambae anajua kuwa ni tishio kwa chama chake kuendelea kushika hatamu. Hayo mapenzi yenu kwa Mbowe mbona hamkuyaonyesha wakati yuko ndani? Hiyo nia yenu njema kwa Chadema mbona hamkuionyesha wakati wanadhulumiwa stahili yao na viongozi na wanachama wao wakifunguliwa kesi za ajabu ajabu? Huyo Slaa mnaemsifia kuwa ni mtu wa principles mbona alikaa kimya wakati viongozi wa chama chake walikuwa wanapitia wakati mgumu? Angalau Zitto, Selasini na wenzao walijitokeza hadharani kukemea Mbowe kufunguliwa kesi ya ugaidi. Slaa kwa nini alipata kigugumizi? Slaa ambae aliunga mkono kuzuiwa mikutano ya hadhara leo unataka tumsifie kwa kusema kuwa lile zuio halikuwa la haki? Hapana, tunamshukuru kwa mchango wake lakini hatuwezi kumuamini tena kama tulivyokuwa tunamuamini.

Amandla...
 
Madini atatema Ni Yeye TAL Jumatano
ndio, tumsubiri TAL

Mi nadhani TAL anapata tabu sana kufanya kazi na mtu kama Mbowe. Kwa saab simwoni Tundu akikubaliana na dhana ya Mbowe ya "yaliyopita si ndwele." Wala huu utamaduni wa Mwenyekiti wa kudumu.

Lakini anaona lazima awe pragmatic, akianza ku call out incompetencies za Mbowe saa hz chama kitapasuka, inabidi aishi nao.
 
Maridhiano ni usanii tu!

Huwezi kuleta maigizo kwenye maisha halisi. Hio dhana lengo lake ni kuwafanya Chadema na CCM kuwa kitu kimoja in a sense upinzani usiwe mkali dhidi yao. Ukishamwambia mtu fanyeni siasa za kistaarabu tayari umemuwekea mtu ukuta, chochote usichopenda utakituhumu kama sio cha kistaarabu ili kumdhoofisha.

Wazee CHADEMA is dead. Gone are the days where opposition stood to defend peoples welfare against CCM's oppression. Sahizi ni kiini macho tu ili umoja wa mataifa uone pana demokrasia. Mbowe anavuta $$$ zake kila mwezi, zito nae same way.
 
Lakini anaona lazima awe pragmatic, akianza ku call out incompetencies za Mbowe saa hz chama kitapasuka, inabidi aishi nao.
Alijaribu kuutishia uenyekiti wa jamaa, yakamkuta yakutukuta; ngoja aje ajaribu tena labda safari hii atafanikiwa. Jamaa kaweka wazi anapoteza mabilioni kwa ajili ya chama chake, nani ana ubavu wa kuquestion?
 
Back
Top Bottom